oyaa mbona umeandika madudu haueleweki yani
Nimesikiliza leo watnznia tuzungumze magazeti ya rfa hadi kichefu chefu.....sijui ht aliyempanga kusoma na yeye hajui wanaojua kusoma maggazeti,rfa kw amud mrefu tumekuw tukiwapend naona sasa mmejisahau siku zote hataa mtoto lazima afundihwe kusoa kama lazima sauda asome, absi mpen mud mmfundishe...si kupang tu ili mradi mmenibo leo
Nilidhani wanakuonea kumbe ni kweli hujui kuandika, unapata wapi gutts za kumkosoa anayesoma wakati wewe hujui kuandika?
All CAPS ni uandishi uliyofundishwa na Mwalimu gani?
kiUkweli...huwa sijui kwa nini Sauda Mwilima anatangaza mpaka leo, si TV si Redio...amekuwa huko kwa muda mrefu but hajui kutangaza..hana skills (si natural (kipaji) au acquired (kusomea)), interview zake za kijinga anuliza maswali ya kijinga kijinga, sasa ukimpa kipindi cha kuchambua magazeti unatarajia nini!?
kiUkweli...huwa sijui kwa nini Sauda Mwilima anatangaza mpaka leo, si TV si Redio...amekuwa huko kwa muda mrefu but hajui kutangaza..hana skills (si natural (kipaji) au acquired (kusomea)), interview zake za kijinga anuliza maswali ya kijinga kijinga, sasa ukimpa kipindi cha kuchambua magazeti unatarajia nini!?
Siyo kwamba hajui kusoma,nilimsikilaza nikuwa alikuwa hana uzoefu,atazoea!
Give her time, am telling you she will pick up and gain momentum to do better like others
In anything, however good you are at the beginning must face partial fear, but with more presentation one can couple.
She used to do with different things, but now in a different angle she must find a resonance frequency to match the needs
...Are You Serious?? Unafahamu Sauda Mwilima ana Miaka Mingapi pale RFA?? Kama katika kipindi choooote hicho hajapata Uzoeufu unadhani ataupata lini tena..??
mkuu huyu alizoea muziki na uwewesekaji wa bongo fleva, usomaji wa magazeti unahitaji adabu, utulivu na focus hivyo
nilazima ajipange hiyo ni anga tofauti kabisa na mdundiko ndiyo sababu kusoma taarifa ya habari ni ......
...Naweza kukubaliana nawe Mkuu ila nadhani ni tatizo tu la hawa watangazaji wetu wa DotCom maana nakumbuka enzi zilee za akina Salim Mbonde, Charles Hilary, Uncle J Nyaisanga nk unamsikiliza anatangaza mpira na mashamsham yote yanayoendana na mpira, kesho unamkuta kwenye Club Rahaleo na mashamsham yote ya huko na Saa mbili kamili usiku unamkuta anatangaza taarifa ya habari kama sio yeye aliekuwa anahamasisha "Klabu Raha Leo Shooooow"....
Ninachojaribu kusema ni kuwa Mzoefu wa kutangaza na anayeipenda kazi yake sawasawa eneo lolote la utangazaji utakalomuweka ata-fit tu maana nadhani kule vyuoni wanafundishwa Utangazaji tu na sio 'utangazaji wa kipindi cha muziki', 'Utangazaji wa kipindi cha dini'. 'utangazaji wa kipindi cha kusoma magazeti na kadhalika;....Dah! Samahani mkuu kwa 'gazeti' hili reefu..:happy: