Mskilizeni Salva Rweyemamu kuhusu tuhuma za ufisadi wa BOT etc!

Salva hawezi kuwa kama Al sahaf,salva ni opportunist,Al sahaf alikuwa mtu wa Saddam,Salva ni mnafiki mtu wa maslahi.Kabla hajapata post tulikuwa tunaponda sote serikali,leo ana office IKULU!!!!!!

Ajuaye Bwana Mungu,
Kwa mzima kuwa mfu,
Mgonjwa kuwa salama!
Tunawapa pole!

Hii tungo nadhani aliimba Omar Kungubaya akawauzia RTD kwa shilingi 50 tu.
 
Back
Top Bottom