Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis


Huu ni mkakati brother G! Usidhani inatokea tu kikawaida.... Sasa kama Pope atakuwa na sauti ya hivyo kwenye uovu mkubwa hivyo hajashindwa tu mpaka level hiyo kama ni vitaaaa??? Si kila kinachokubaliwa na kiongozi mkubwa kama Pope nasi tukikubali! Lazima tukatae uovu na waovu kwa nguvu zote no matter what brother!
 

Kwa mfano wew baba ako afanywe hivyo utafanya nin
 
Mimi ni mkatoliki kindakindaki naanza kuukubali uislam hata kam sheria ni ngumu kutekeleza quran ikisem muovu shika kichwa kata shingo ua hakuna majadiriano ni kuchinja .tu
 
Kuelewa vizuri biblia inahitaji utulivu wa ndani, ili roho mtatatifu akufunulie . Kemea maovu wakati wote, ila usihukumu mtu kwa uovu wake.

Nadhani tuhukumu kwanza ili tuweze kukemea uovu, kukemea ndio adhabu yenyewe sio kumuomba radhi mtuhumiwa
 
kweli mkuu mashoga siku hiz wanazidi kuongezeka kutokana na mahitaji ya wateja wao.
Hiv mtu anayenyonya sehemu za siri, anakula tigo huyu hawez kuwa mteja wa mashoga? Km akikosa mwanamke wa kumpa tigo?
Tabia za ushoga sio asili yetu africa hiz tabia zilichochewa na watu weupe.
Sasa baada ya watu kuangalia mikanda ya ngono za kimagharibi wakaanza uadopt huu utamaduni.
Kiukweli mm napinga sana ushoga na kunyonya sehemu za siri. Huwa ni uchafu kwangu
 
suala la kuomba radhi nakiri hapo yupo wrong sbb mtenda dhambi haombwi radhi hata siku moja.
Ila kuhukumu haitakiwi sbb ni mambo ya rohoni. Ndio maana huwa hatujui mtu kawaza nn ila Mungu ndio anajua.

Kwani hukumu unatafsri vipi? Kwangu adhabu ya hukumu ni kukemea, nashukuru ume fahamu Papa kakosea kwakuwataka Wakatoliki waombe radhi
 
Mchezo ni uleule unaendelea walishatwambia tuwe tunawaomba msamaha watoto wetu tuliowazaa, hii haipo ktk malezi ya kikristo wala kiislam ni kazi ya ibirisi hii inaendelezwa na mawakala wake nakwambia hapa halitosalia hata jiwe
 

Gregori kwenye art of making luv everthing is possible to ur sweety but not sodomizm! Basi hata kumshika ziwa au kalio lake basi ni dhambi! Dhambi ni uasi na uasi haufanywi na kichaa lkn huyu kichaa kamwe huezi muona kafanya uasi kama huu ambao unapigiwa chapuo na viongozi wa nchi za magharibi. Ondoa unasali au unaabudu kanisa gani lkn leo unakua kiongozi kwenye jamii inayokuzunguka halafu watu wa tabaka hili wanakujia wanaomba watambulike na wawe na haki zao za msingi... wewe kama kiongozi utachukua hatua gani??
 
Kweli mkuu, wateja wa hayo mambo humu ndani ukiwakemea utaambiwa kila aina ya quotation wakidai eti ni mandiko ya bible kumbe ni unafiki mtupu.

Hizo ngono wanazoangalia kwenye video ndizo zinawaharibu na zimetengenezwa kwa makususi na sio starehe, roho ya mtu mwovu huona jambo baya kama jambo la kawaida na kwake yeye linavumilika kabisa
 
Ajitokeze mtu humu atuhakikishie kuwa ana uelewa mkubwa zaidi kuliko huyo Pope hasa ktk nyanja za theology na biology ili tuanzie hapo, hasa wewe unayejiita Pythagoras. Ninachokiona hapa ni watu kukomaa kupitia uelewa wao mdogo + mihemko, nothing else!
 
Mimi ni mkatoliki kindakindaki naanza kuukubali uislam hata kam sheria ni ngumu kutekeleza quran ikisem muovu shika kichwa kata shingo ua hakuna majadiriano ni kuchinja .tu
sasa mkuu unafikir kumuua mwenzio utaenda mbingu ya mabox?
Baada ya kubeba silaha au kujilipua unafikiri utaenda mbingu ya nani?
Dhambi zinakera sana wakat mwingine unaweza kufikiri njia ya pekee ni kuua ila kumbuka ukiua au kujiua pia ni dhambi?
Kunywa pombe, kuvuta sigara, kulala na mwanamke kabla haujao, kula tigo, kunyonya au kunyonywa sehemu za siri, uongo, chuki n.k zote ni dhambi. Ww umechukua uamuz gani kutokomeza haya?
Papa alipobugi ni kuwaomba msamaha, mtu mwenye dhambi hupaswi kumuomba msamaha.
 
Kwa mfano wew baba ako afanywe hivyo utafanya nin

Mpaka hapo atakapokuwa naamini ntakuja na uzi mpya humu ndani kwamba mzee alieaminika anashiriki mapenzi ya jinsia moja akutwa amekufa vibaya na mwili wake kukutwa..... aseee kwa hilo sitamuacha apeleke upumbavu wake kaburini!
 
Mpaka hapo atakapokuwa naamini ntakuja na uzi mpya humu ndani kwamba mzee alieaminika anashiriki mapenzi ya jinsia moja akutwa amekufa vibaya na mwili wake kukutwa..... aseee kwa hilo sitamuacha apeleke upumbavu wake kaburini!
kwahiyo utamuua?
Kumbuka ukimuua damu yako itakuwa juu yako sbb huenda huyu mtu akabadilika.
Je, wanaonyonya sehemu za siri wafanywaje?
Kumbuka zote ni dhambi na Mungu anakataza uchafu huu
 

Kwa hiyo anafananisha 'mapenzi ya jinsia moja' na 'wanawake, watoto, masikini, na ambao wapo kwenye ajira hatarishi' mambo ambayo hayaendani!!
Hivi hiyo 'hukumu' ambayo anaiongela ni inaelezewaje? Au ndio mwazo wa kushawishi some governments around the globe to decriminalize homosexuality and lesbianism.
Mwenye macho yanayo ona vizuri haambiwi tazama, na pia kwa mwenye masikio mazima haambiwi sikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…