Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 1,914
- 6,033
Unazungumzia chelsea ipi? Tusubiri dakika90Siwapendi City ila leo kitu Chelsea anafanywa hatosahau
Tupe feedbackRamli fukunyuzi
😂Mkuu unaona mbali Sana ,..!
Kuna haya matakataka ya darajan na wachambuzi uchwara kina ambangile wanaichukulia poa city ,...
Keep watching
Sikiliza wewe sisi ndio wataalamMaisha yangekuwa simple sana kama utabir upo hivi tu!
Kwani mpaka sasa hujaamini tu?Ingekua bongo ningeamini hizi ramli