Msitarajie Chelsea kumfunga Man City leo

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,851
5,860
Kutokana na tarehe ya leo kuwa haigawanyiki kwa mbili kama ambavyo herufi ya mwanzo ya timu ya Man City haigawanyiki kwa mbili, basi nyota ya Man City leo inang'aa sana na ikichagizwa na muda wa mchezo kuwa ni saa sita na nusu kwa saa za Uingereza basi leo Man City hatofungwa na Chelsea.

Hivyo wadau wa kubet muwe na angalizo kwenye mikeka yenu, msimpe ushindi Chelsea, ni hayo tu
 
Mkuu unaona mbali Sana ,..!


Kuna haya matakataka ya darajan na wachambuzi uchwara kina ambangile wanaichukulia poa city ,...


Keep watching
 
Kwenye zama za Sayansi na teknolojia,hayo matakataka ya utabiri unaonekana punguani tu,

Bado unaishi kwenye fikra za zama za Mawe,

Hata kama Chelsea atafungwa kweli basi sababu haiwezi kua ni huo upuuzi uliouandika hapa.
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom