Wasichana wa kazi karibu wote ndivyo walivyo. Wanyalukolo tena ndio zaidi, akisema swela anakanyonga katoto kako na anajiondokea zake. Unasema ukachukue kwa ma-agent? Hapo ndipo tunapokosea, maana hao wapo kibiashara tu hujui wasichana hao wanawatoa wapi na historia zao zikoje. Wenzio wanakwenda kijijini moja kwa moja kuwaomba wazazi wao Mlimba huko, kando ya reli ya Tazara mkoa wote wa Morogoro shuka stesheni yoyote halafu zamia ndani ndani, utawapata tu, fikia kwa serikali za mitaa ongea nao vizuri watakwambia ni nyumba ipi hasa inakufaa. Ukingojea kupostiwa utaendelea kulizwa kwa awamu. Sio lazima uende mwenyewe kijijini, jamaa yako aliye karibu na huko anaweza kukusaidia, lakini sio kutumia agent.
Nimelizwa mara nyingi, wengine akifika leo anareck mtaa wako halafu anahamia kwa vijana wa mitaani wanaomgegedua kwa ahadi ya kumpa kila kitu akiacha watoto wanapiga miayo siku nzima mpaka unaporudi usiku au jioni. Watoto wa mjini nao akikaa siku mbili tatu anapendeza na unajikuta anakusaidia hata kazi zako za ndani za kimsingi kwa mzee. Yaani, weacha tu. Akifikia miaka 17 una bahati bora arudi nyumbani, maana miaka 15 tu akizoea nyumbani kwako ujue mko wanawake wawili.