Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Na mwakani wachagueni Viongozi Mafisadi mutaona mutakuja kununuwa chungwa linalo toka china na mkate utakuwa unatoka nchi za jirani kenya au uganda. Kazi kwenu wapigaji kura Mkuu mshana jrAisee MziziMkavu hivi unajua tayari nchi imo mnadani hii? Raslimali za Taifa zinapokuwa mikononi mwa wageni kwa kiasi kikubwa basi ujue tumeshaumia
Last edited by a moderator: