Na leo pia limeongezeka mara dufuLitakuwa limeongezeeka hadi kufikia jana .
bilion kumi na nne na milion mia nne...mweeeeeanayeweza kuniandikia kwa maneno tafadhali
bilion kumi na nne na milion mia nne...mweeeee
Toa kwanza boliti kwenye jicho lako kisha uje utoe kibanzi kwanguyaani umekaa kabisa ukahesabu izo sifuli jibu ndio hilo tena bado ukamuua kuandika humu Jf asee
![]()
![]()
![]()
![]()
Hizo Pesa zangu hapo juu hazitoshi kulipa hilo Deni lenu nyinyi Wa-Danganyika? Mkuu mshana jr;
[h=3]
Kila raia wa Tanzania anadaiwa sh. 600,000/-[/h]
Mafisadi watatumbuwa hayo mapesa ngojea nchi iuzwe kwa Wazungu au Waarabu waje huko kututawala.Mkuu.@mshana jrThanks MziziMkavu kwa kuiweka clear hii picha maelezo yake sasa yanasomeka vyema mwenye macho haambiwi tazama
BTW hii mihela yako yote hii una uhakika gani kama ukiwapa waende kulipa watalipa kweliiii????
Mafisadi watatumbuwa hayo mapesa ngojea nchi iuzwe kwa Wazungu au Waarabu waje huko kututawala.Mkuu.@mshana jr