Naona nderemo na vifijo upande wa mboga mboga wameanza kuongoza mbio tayari wamejiona washindi pasipo kujua hapa msingi nikumaliza mbio sio kuongoza mbio, wamesahau hata mbio zilizopita tuliongoza mbio sisi, ndugu zangu baada ya kuanguka isitufanye tusiendelee na mbio lazima tumalize mbio .