Hili ni fenesi, msimu wake ni kuanzia oct hadi march, matunda haya na yote aliyotaja mkuu Amavubi yanapatikana kwa wingi kiasi chake hapa bustanini kwangu!
Haya ni maembe ya kisasa! ni matamu hakuna mfano! yanapendwa sana yangali mabichi make hayana ukakasi wala uchachu na yakiiva mmmh ndo balaa zaidi!!
Haya ni mapera!
[emoji7]Haya ni mapera!
Ikifika Aprili Mei huwa nayanunua kwa wingi Tanangozi pale kwa ajili ya Juisi yake ukichanganya na passion-pori saafi, my favourite juice.Haya ni mapera!
Haya matunda nilikula zamani sana,anaejua jina lake naomba tafadhali.
Lina leta ashk kinomaaMkuu hadi hii kokoa nalo ni tunda??!!
Jackfruit aka fenesi, enzi hizo tupo machakani, unapiga hayo mawili peke yako saaf kabisa
Nayapend sana haya madude
Hili ni fenesi, msimu wake ni kuanzia oct hadi march, matunda haya na yote aliyotaja mkuu Amavubi yanapatikana kwa wingi kiasi chake hapa bustanini kwangu!
Fenesi ni tunda lenye radha ya pekee kiasi cha kufanana na ndizi licha ya kwamba lina harufu isiyokuwa na mfanano na tunda lolote, ila usile ukapitiliza... ni hatari kwa afya...
mkuu haya ni matunda gani??
matufa sio ma apple?Matufaa
matufa sio ma apple?