Msiruhusu maskini awe kiongozi wa nchi - Dr. Myles Munroe

Msiruhusu maskini awe kiongozi wa nchi - Dr. Myles Munroe

Hebu tuwekee mahali ambapo nimeandika kwamba Rais tajiri hafai.

Ni kama wote mnataka kusema rais tajiri hafai sio? tuwe wakweli utajiri unasaidia sana kuongeza confidence ya mtu kwenye ku-bargain..kwani ameshazoea kusoma Zero digit kuanzia 6 kwenda juu...


cc Meja mwendwa
 
Ila kweli aiseee maana maskini wakiingia kwenye madaraka watataka kujitajirisha kwanza ndio waanze kuangalia mambo ya taifa kama hawa viongozi wetu
 
Ni fikra za kimaskini na sio umaskini.raisi asiwe na fikra za kimaskini maana atawaza kuiba na kujilimbikizia mali.awe na fikra za kueleza watu na kukuza uchumi km vile kuendesha kampuni

Naona umemuelewa sana Dr. Myles Munroe. Kweli tatizo kubwa ni watu maskini huwa hawaondoi hizo fikra za umaskini hadi hata wakipata. Bado wanakua na uoga wa kupoteza na hapo wana amua kung'eng'ania kila kitu ili wajilinde.
 
lawmaina78 leo tunakubaliana kabisa. Jomo kenyatta was poor, kibaki was poor, Moi was poor, "x" (fill in any rich kenyan politician) was poor;....until they became political leaders, then they were not poor anymore! Imagine mali ya urithi tu ya Uhuru kenyatta imetosha kumfanya one of the richest persons in EAC! Hapo bado yeye mwenyewe hajala.
 
lawmaina78 leo tunakubaliana kabisa. Jomo kenyatta was poor, kibaki was poor, Moi was poor, "x" (fill in any rich kenyan politician) was poor;....until they became political leaders, then they were not poor anymore! Imagine mali ya urithi tu ya Uhuru kenyatta imetosha kumfanya one of the richest persons in EAC! Hapo bado yeye mwenyewe hajala.

Nafurahi kuna kitu angalau kimoja tunakubaliana ndani ya hii JF yote. Wote hao walianza wakiwa maskini wakaishia uporaji.
 
NAIROBI: American televangelist Dr
Myles Munroe who was in Kenya for a
series of talks about three weeks ago
has died alongside nine other people
including his wife and daughter in the
Bahamas.
According to the Bahamas Tribune, his
plane crashed while trying to land at
the Grand Bahamas International
Airport in Freeport on his way to the
Global Leadership forum that was
planned for November 10 to 13 at
Freeport, Grand Bahama.
According to the Bahamas Faith
Ministries, an organization Munroe
founded, the event could go on as “Dr
Munroe would have wanted.”
Among his last media interviews was
the one he gave at KTN’s JKL Show
where he spoke about how we will love
to die on October 24.
“I want to challenge every Kenyan to
go to the cemetery and disappoint the
graveyard. Die like the Apostle Paul
who said I have finished my course, I
have kept the faith and I have been
poured out like a drink offering. There
is nothing left. I am ready to die. That’s
how I wanna die because there is
nothing else for me left to die,” he told
the show’s host, Jeff Koinange.
“When you die, die like I am planning
to die. Empty. It’s finished,” He added
in the show.
Dr Myles Munroe who is the founder of
the Bahamas Faith Ministries is a writer,
preacher, thinker, leader, publisher and
motivational speaker.
According to a biography in his
website, the 60-year-old has published
more than 100 spiritual and
inspirational works and is a
government and business consultant to
Fortune 500 businesses. He has
travelled to over 130 countries.
A total of 49 of his books were best
sellers. His books Understanding the
Purpose and Power of Woman,
Understanding the Purpose and Power
of Men and The Most Important Person
on Earth are some of his popular titles
among book readers in Kenya.
He was in Kenya in his visit to Africa in
his Tour of Africa where he was visiting
9 countries to speak about leadership
and change. While in Kenya, Dr Munroe
pointed out that Kenya’s education
system needed adjustment.
Rose from an F student to own a jet
Dr Munroe who was born in the
Bahama as the sixth born in a family of
11 lived in a wooden house with four
big rocks holding up the house above
the ground rose from such a poor
background to own a private jet.
His home was in the poorest village at a
small island where “people were so
poor that they even didn’t know that
they were poor.”
“Our mother spread a mat on the floor
for us to sleep. Roaches and rats ran
over our bodies as we slept,” he said
during the interview.
At the age of 13, he started to question
his life. “I was born in an island with 96
per cent of the people black. But all the
powers and the economy was the in
the hands of white people who only
formed four percent.”
 
Aende zake huko......... Kwa hyo maskin hawana haki ya kuwa marais
Siyo Urais tu hata Ujirani. Maskini ni mtu hatari sana. Anaweza kukugeuka wakati wowote ili mradi kuna pesa. Kwa Urais ndo usiseme. Na mleta uzi angeenda mbali zaidi hata Ubunge tu msimchague maskini. Haya mnamlalamikia Prof. Yeye ni ------ wa watu, alikiuwa maskini, lakini mbona alipounyaka Urais mnalalamika kijilimbikizia mali yeye na mwanae? Na umaskini ndio uliharibu mchakato wa katiba. Laki 3 kwa siku kwa makundi ya watu waliokuwa wajumbe, zilitosha kutusaliti!
 
Tunahitaji raisi Mzalendo anayewajali na kuwapenda Watanzania na taifa. Siyo hawa wanafiki mafisadi wa ccm. Ikiwa kwa kudokoa dokoa hatimaye wamehalalisha wizi na rushwa, wanatuibia kila siku bila kujali tunatoa kodi kutoka wapi. Hawajali tunakufa na magonjwa hospitalini hakuna dawa. Wametayarisha katiba inayowalinda ili watuibie sawasawa. Kila hoja inayotolewa ya kumtetea mnyonge wanaikataa. Hawako tayari kusema ukweli kuhusu utajiri wao kwa sababu ni wa kutuibia. Elimu inashuka nhcini na badala ya kurekebisha wanachakachua matokeo bila kujali athari za kujenga taifa la watu wajinga. wanaendesha nchi kwa kujihami na kuficha aibu zao lakini si kumkomboa Mtanzania.Wanua raia wasio na hatia kwa kuwa wanadai haki zao. Hawataki kuwe na sheria zinazosimamia uwajibikaji, uwazi na uadilifu. Wanatuibia na kujilimbikizia mali nje ya nchi bila huruma.Leo hawa uwape nchi si ni sawa na kumkabidhi fisi awe msimamizi wa bucha?Hatuhitaji maskini juha. Tunahitaji mtu mzalendo mwenye elimu sahihi , mwenye kuthamini na uwezo thabiti wa kutumia raslimali tulizonazo ziwazo zozote kwa maendeleo ya taifa.Utajiri wa kutuibia umejaa damu za Watanzania wanaokufa kwa kukos ahuduma ni laana. Hatuhitaji kiongozi aliyelaaniwa. Waishie huko huko!.
Ni kama wote mnataka kusema rais tajiri hafai sio? tuwe wakweli utajiri unasaidia sana kuongeza confidence ya mtu kwenye ku-bargain..kwani ameshazoea kusoma Zero digit kuanzia 6 kwenda juu...cc Meja mwendwa
 
Nafurahi kuna kitu angalau kimoja tunakubaliana ndani ya hii JF yote. Wote hao walianza wakiwa maskini wakaishia uporaji.


Pamoja na kupora lakini wameiendeleza Kenya tofauti na mtu anaejifanya hapori halafu akashindwa kuiendeleza nchi yake.
 
huyu anaongea kwa kutumia uzoefu na nadharia za kibepari inaonekana amekariri
 
Huo ni wizi mtupu...aliongea hayo kwa kuwa alikuwa Kenya...angetembelea Tanzania enzi za mwalimu angeongea kitu kingine...alitaka kumfurahisha Uhuru...
 
Pole wafuasie Dr.Myles; kwani imeandikwa Biblia "Heri wafu wafao katika BWANA hata sasa; maana matendo yao yatawafuata".
 
Mwalimu hakuwa tajiri na bado alikuwa kiongozi mzuri ambaye hakuyatumia madaraka yake kujitajirisha.

BAK labda umsikilize vzr tena. Umaskini anaozungmzia hapa si wa kutokuwa kwa na kitu bali kuwa tamaa na ubinafsi wa kutaka kukusanya mali na kusahau kuwahudumia waliokuchagua. Kwa hiyo basi,kwa mujibu wa huyu Dr. hata kama ac yako bank inasoma billions balance lakini kama bado unaendekeza ufisadi kama hawa jamaa wa Escrow wewe bado ni maskini tu hufai kuwa kiongozi. Kwa mantiki hiyo basi unaweza kusema Mwalimu alikuwa tajiri kwani hakuwa na tamaa ya kuilimbikizia mali aliwajali anaowaongoza tofauti na ilivyokwa uonozi wa sasa.
 
Pamoja na kupora lakini wameiendeleza Kenya tofauti na mtu anaejifanya hapori halafu akashindwa kuiendeleza nchi yake.
mkuu najua hoja yako yaweza wachanganya wengi lakini najiskia kukubaliana na kila usemacho hapa.
 
Huyu jamaa yuko vizuri kweli. Alikuwa tz few days ago.

Indeed the man was very wise, a true leader and great inspiration to this generation.
He will be remembered for many things but the greatest of them all is his leadership teachings and inspiration.
 
Bak nyerere kweli hakuwa tajiri lakini hakutumia madaraka yake vizuri maana wakati wa uhuru Tanganyika ilikuwa tajiri sana ukanda wa chini ya sahara hasa kwa kilimo chake cha cash crops, na pia miundo mbinu iliowekwa na wakoloni haikubimolowe kama wakolini wa kifaransa walivyo chukua vyao kuwaa chia nchi tupu zilizozitawala,sasa utawala wa Mwalimu umeifanya tanzania kuwa maskini sana kuliko hata nchi zenye mali asili chache, sababu ya utawala wa mabavu na kutaifisha mali za watu na kuwafukuza wawekezaji,matokeo yake ni umaskini ulioifanya Tanzania kuwa nchi ya pili duniani kwa kuogoza umaskini katika kipindi hucho huku kusingizia vita vya kagera ambavyo vilikuwa proxy warfare. Yaani tunapiganishwa na mataifa makubwa sio kwa maslah yetu bali maslah ya hao walio fanya propaganda zao halafu,hao hao walisaidia sana kulipia vita hivyo hata vatican ilisaidia sana,kwa hio kusema mwalim Nyerere kafanya mazuri.sana sio kweli ila watanzania kawapeleka kuwa wajinga sana kwa fani zote,jee huo haukuwa utawala wa kuwasaidia watanzania maana alikuwa hataki ushaurini yeye kasema na.akili na fikra zake zilikuwa kama ndio fikra kuu,kama za Maotsetung,kim ilsung,josef tito,na kina breznev
 
Back
Top Bottom