Msiruhusu maskini awe kiongozi wa nchi - Dr. Myles Munroe

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,612
 
Last edited by a moderator:
Kichwa chake hakiko vizuri unaweza kua doctor nabado akili ukazidiwa na darasa la saba

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mwalimu hakuwa tajiri na bado alikuwa kiongozi mzuri ambaye hakuyatumia madaraka yake kujitajirisha.
Ila hakutoka katika familia ya dhiki. Alitoka familia ya chief na labda tunaitazama falsafa ya utajiri kwa maana ya majumba magari uwekezaji mkubwa. Lakini mwalimu alikuwa tajiri sema tajiri ambaye hakuiba mali za wananchi lilikuwa ni jasho lake. Mtu anayelima na kupata gunia 300-500 afu anamiliki Ng'ombe zaidi ya 200 huyu mtu huwezi kumwita ni maskini hata kidogo. Na nafikiri mtu wa namna hii akiwa kiongozi afu akaiba huyu atakuwa mrafi kupitiliza sababu kama ni resources za kumuingizia utajiri anazo ya nini akaibe vya watu tena maskini wakutupwa. Mwalimu alitumia uwezo na mali zake kusaidia wanyonge. Ali elimika ki sawasawa
 
Na hao waliokuja baada yake pia hawakuwa na dhiki lakini wote walitumia nyadhifa zao kujitajirisha kwa njia za haramu pamoja na kuwa mishahara na marupurupu yao kama marais ni mazuri sana na muda wote waliokuwa madarakani gharama zao nyingi za maisha zilibebwa na walipa kodi.

No, Not in Tanzania where the rich would do anything to make more money. Mfano mdogo ni this miss tz saga. She is from a well to do family, familia ambayo mama na baba viongozi. Inashangaza sana uongo mkubwa walioupika na kuaminisha watz ili tu kupata hiyo title. Je ingekuwa ni title ya juu zaidi nina hakika kuna watu Wangekuwa wamekufa na kuzikwa kusikojulikana just to get what they want.

Sidhani kama kuna maskini mwenye means na resources za kufanya alichokifanya yeye. Nina amini kabisa, maskini wa hii nchi wengi wao wana integrity kuliko matajiri kwa sababu matajiri wengi made thier fortunes from shady deals na wako tayari kufanya lolote to make more money, hawajui na hawajazoea kupata fedha kihalali, na pia to protect thier ill gotten fortunes.
 
Mwalimu hakuwa tajiri na bado alikuwa kiongozi mzuri ambaye hakuyatumia madaraka yake kujitajirisha.

Mwalimu like Mandela wametoka ukoo wa machifu. Karume juniour zao la familia "kubwa" personally was very instrumental kuleta GNU Zanzibar. Equally Uhuru Kenyatta is proving to be a great leader.. Its a sad fact Watoto wa wakulima na wahunzi have turned out to be poor selfish leaders.
 
Aende zake huko......... Kwa hyo maskin hawana haki ya kuwa marais

Haki wanazo lakini kwa utafiti wake, wengi wa hao maskini huishia kuwa mafisadi sana maana hawajazoea kuona yote wanayo yakuta.
 
Kwa hiyo kama wananchi ni masikini kama Tanzania baada ya uhuru, waoutsource tajiri kutoka nje!?
Au kama nchi ina masikini wengi, tutumie mbinu za EPA/IPTL/Deepgreen nk kutengeneza matajiri fake ili kupata rais!?
 
Hana tofauti na Dr Bana. Lazima anaumwa ugonjwa wa akili-eti kwamba matajiri si wezi. Wezi wakubwa kwa mujibu wa vitabu vya Historia ni matajiri na pale wanapofanikiwa kuingia kwenye Uongozi wa juu ndiyo usiseme kuwatoa ni kwa Kudra za mwenyezi Mungu maana wanatumia pesa kusimamia masilahi yao kwa namna yoyote ile hata kwa kuua.
 
Mwalimu hakuwa tajiri na bado alikuwa kiongozi mzuri ambaye hakuyatumia madaraka yake kujitajirisha.

Raisi wa Uruguay Jose Mujica ni Raisi Maskini kuliko wote ila anaongoza nchi yake vizuri na maisha ya watu wake yanaenda poa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na hao waliokuja baada yake pia hawakuwa na dhiki lakini wote walitumia nyadhifa zao kujitajirisha kwa njia za haramu pamoja na kuwa mishahara na marupurupu yao kama marais ni mazuri sana na muda wote waliokuwa madarakani gharama zao nyingi za maisha zilibebwa na walipa kodi.

By Meja mwendwa .....
Ila hakutoka katika familia ya dhiki. Alitoka familia ya chief na labda tunaitazama falsafa ya utajiri kwa maana ya majumba magari uwekezaji mkubwa. Lakini mwalimu alikuwa tajiri sema tajiri ambaye hakuiba mali za wananchi lilikuwa ni jasho lake. Mtu anayelima na kupata gunia 300-500 afu anamiliki Ng'ombe zaidi ya 200 huyu mtu huwezi kumwita ni maskini hata kidogo. Na nafikiri mtu wa namna hii akiwa kiongozi afu akaiba huyu atakuwa mrafi kupitiliza sababu kama ni resources za kumuingizia utajiri anazo ya nini akaibe vya watu tena maskini wakutupwa. Mwalimu alitumia uwezo na mali zake kusaidia wanyonge. Ali elimika ki sawasawa

Ni kama wote mnataka kusema rais tajiri hafai sio? tuwe wakweli utajiri unasaidia sana kuongeza confidence ya mtu kwenye ku-bargain..kwani ameshazoea kusoma Zero digit kuanzia 6 kwenda juu...

cc Meja mwendwa
 
Ni fikra za kimaskini na sio umaskini.raisi asiwe na fikra za kimaskini maana atawaza kuiba na kujilimbikizia mali.awe na fikra za kueleza watu na kukuza uchumi km vile kuendesha kampuni
 
Back
Top Bottom