GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,694
- 109,133
hapo sisi tunaogeuza na gari huwa tunapiga mahesabu mengi upande upi upo wa jua ....wanangu wa gomz na mbagala wanajua nachomanisha
Kuna Siku nilihama upande uliokuwa na Jua kabla Gari halijatoka Kituoni na lilipoondoka tu kumbe upande niliohamia Jua lilikuwa ni Kali zaidi.🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo sisi tunaogeuza na gari huwa tunapiga mahesabu mengi upande upi upo wa jua ....wanangu wa gomz na mbagala wanajua nachomanisha
Hahahahaha mahesabu hwa tabu sanaKuna Siku nilihama upande uliokuwa na Jua kabla Gari halijatoka Kituoni na lilipoondoka tu kumbe upande niliohamia Jua lilikuwa ni Kali zaidi.
Nyiee mbona sio sanaUsisahau wanangu wa Buza!
Ila kuna Watu wanajua kweli Mahesabu ya Kulikwepa Jua wakiwa katika 'DalaDala' kwani kila ukikutana nao ndani ya Basi Jua kamwe haliwapigi.Hahahahaha mahesabu hwa tabu sana
Kama mm hapa mwanzon ndo yalikuwa yananipa tabu ila baada ya kuzoea raha sanaIla kuna Watu wanajua kweli Mahesabu ya Kulikwepa Jua wakiwa katika 'DalaDala' kwani kila ukikutana nao ndani ya Basi Jua kamwe haliwapigi.
Kwahiyo na Wewe sasa hivi umekuwa 'Mathematician' ndani ya 'Basi' Mkuu? Mimi kwa Utabiri mbovu wa 'TMA' huwa nabahatisha kutobahatisha.Kama mm hapa mwanzon ndo yalikuwa yananipa tabu ila baada ya kuzoea raha sana
Hapo nikishapata siti ya nyuma kuna dirisha mwendo wa forum after forumKwahiyo na Wewe sasa hivi umekuwa 'Mathematician' ndani ya 'Basi' Mkuu? Mimi kwa Utabiri mbovu wa 'TMA' huwa nabahatisha kutobahatisha.
Hivi madunga dunga bado wapo? Maana kitambo, bongoKuna wataalamu wa kubambia ndani ya daladala!
Kuna waswahili wa mitego ndani ya daladala!
Mara nyingi watu wanapitiliza vituo kisa vituko.
Mkuu nimecheka kwa hii 'post' yako. Kuna Abiria kweli wana Akili za 'Kipa Katoka' kabisa hapa Dar es Salaam katika hizi 'DalaDala' zetu nyingi tu.Nipo kwa daladala ya Makumbusho juzi, kufika Mwenge Konda akasema kwa sauti 'Mwenge Mwenge' akageuza kichwa watu wote kimyaaa..!
tumepita Mwenge twakaribia ITV, mama mmoja akasema 'konda niache Mwenge', dereva ndiyo kwaaanza akaongeza speed makusudi kabisa, vile Wabongo tulivyo na degree ya ku mind other people's business tukageuka wote kumtazama, naye mama wa watu akajikausha kama hayupo,
Kufika ITV, konda akaita tena, watu wakainuka ila macho kwa yule mama hayatoki waone Je, atainuka kushukia hapo, lakini ndiyo kwaaanza akajikausha zake, nimekuja kushuka naye Makumbusho ndani kabisa maskiini sijui alikuwa mgeni..!!
Yaani Wabongo Ni Wambea BalaaNipo kwa daladala ya Makumbusho juzi, kufika Mwenge Konda akasema kwa sauti 'Mwenge Mwenge' akageuza kichwa watu wote kimyaaa..!