Hao view sijui ni USALAMA WA TAIFA? Kuna "madude hapa hayajawahi kuchangia yana"view" na kusepa..view 450 na reply 20
"MUNGU WAKO" napapendaga hapo tu..ingekuwa "MUNGU WETU" ingeleta mkanganyiko saaaana..USILITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO
"MUNGU WAKO" napapendaga hapo tu..ingekuwa "MUNGU WETU" ingeleta mkanganyiko saaaana..mimi "MUNGU WANGU" hana shida hata nikimtaja kila mara popote
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]virus huwa hatakiwi popote
humu JamiiForums kuna usalama wa taifa,mawazir,wabunge nk hao ndo kazi yao kuchungulia tu au kuleta propaganda katika kukijenga chama tawala kuna muda usishangae unabishana hata na waziri mkuu wakoHao view sijui ni USALAMA WA TAIFA? Kuna "madude hapa hayajawahi kuchangia yana"view" na kusepa..
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]humu JamiiForums kuna usalama wa taifa,mawazir,wabunge nk hao ndo kazi yao kuchungulia tu au kuleta propaganda katika kukijenga chama tawala kuna muda usishangae unabishana hata na waziri mkuu wako