Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Mkuu lakini Ds ina raha yakeVijana wa leo utasikia nitaftie namba DP,DQ,Mara DS
Kama unauzoefu wa magari, naona ni bora ukague gari mwenyewe, tena uliendeshe umbali fulani kwenye lami na barabara mbovu...Hawa mafundi wetu hawa..ila kwa kweli hawa mafundi wanaokagua magari wanaweza kukuinguza mkenge usipokuwa makini
Tena anaongea huku kabana puaVijana wa leo utasikia nitaftie namba DP, DQ, Mara DS
Kweli na kuna wengine wanaangalia km kumbe gari kimeoKwa mtu makini hawezi kubabaisha na D, yeye anaangalia condition ya gari
Mi nina CH ila mashine imenyooka kama imetoka Japan juzi. Ikiwa kwenye gear husikii kitu yani nisipopiga honi naweza nikakukanyaga hata miguu maana hutajua kuna gari nyuma yako. Body nimeanza kuichakaza mimi hasa bumper tokana na njia mbovu kuelekea kwangu. Inshort Ni gari nimeuziwa na mtu makini sana nikitaka gari ingine namtafuta maana ana gari zaidi ya moja.Vijana wa leo utasikia nitaftie namba DP, DQ, Mara DS
Dar gari nyingi za zamani zimeshaliwa na chumvi huku chini. Sishauri saaana kununua namba A mazingira ya Dar, labda mikoa mingine isiyo na chumvi.Uko sahihi mkuu,nilienda moshi nikawa nashangaa gari rav 4 # ATR kama imetoka Japan Jana,Dar factor nyingi zinachangia gar kukongoroka haraka