msinizodoe jamaniiiiiiiiiii

PM yako tu!niko a town,kazi ya kutosha,miaka 31,mkristo,mlokole!kama una nia!wewe mwenyewe!kazi kwako!Elimu yangu masters!
 
Hapo unapo ishi hamna wanaume mpaka uje huku.Au unataka uwapunguze member wa jf ushindwe na .....
we Wingu wewe!kha! kwani huyo mpenzi wako imemtoa mtaani kwenu?si mmekutana nanii..... au unadhani sijui?
 
nahitaji mume mwenzenu,mi sijasoma ila mwaka jana nimefa qt na sasa naendelea na masomo ya sekondari mwaka huu nitafanya mtian wa fm 4 ila nafanya kazi kwenye ofisi moja kama muhudumu ni kazi inayonifanya niweze kujikimu.Nina mtoto m1 mimi ni mkristo nimeokoka,nina miaka 29.Aliye mkristo na ambaye ameokoka :washing:kikweli kweli na angalau awe na mtoto m1,sichagui rangi kabila lolote ila tu asiwe mzaramo.Aliye tayari namkaribisha.Sitanii japo najua wapo watakaonibeza
Nicheki chenye simu 0713 64 44 85 and Mail emmanuelvitalis@tanzaniamail.com
 
Nicheki chenye simu 0713 64 44 85 and Mail emmanuelvitalis@tanzaniamail.com uwe serious lakini
 
wewe mbona CV yako haijakamilika??? umekataa kabila ila wewe hujasema kabila lako, mahali ulipo etc huoni unapunguza kasi halisia kwa wengine wanaopenda kubagua???
 
Watu wengine bana. .
Hapo aliposema alizaliwa akiwa mlokole ni wapi?

Na wewe mtoa mada kama hubagui kabila mbona lipo ulilosema hutaki? Kanisani mnafundishwa ubaguzi siku hizi ehhh?

Huchagui kabila wakati ushasema hutaki Mzaramo!

Mzaramo si mtu?

nahisi aliompa mimba wa kwanza ni mzaramo kwa hiyo anakinyongo nao..

Hawa waume unaotafuta online, utaishia kupata mtoto wa pili na kuendelea!

labda ankoli mwingira ndio kamshauri hivyoo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom