:doh: :doh:
Ni hayo tu wale mnaonitag.
Na hivi uko kikazi zaidi kweli akupishe upite
jaman my dia sio lengo langu, me love this couple alotz because ina mapenzi ya dhati.
me sijambo mpnz sijui wewe?nimefanyaje?
Leo naomba tukutag ya mwisho.
nani tena huyo ?Ha ha ha king'anga'anizi!!!
mbona mpango wetu umekuwa kama ile ahadi ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai?
muambie huyo. Eboh!
jaman my dia sio lengo langu, me love this couple alotz because ina mapenzi ya dhati.