Msinishangae jamani!

Ngoja nikupe ushauri wa kizamani mwalimu. Tafuta mwanaume anayejielewa, atakayekupenda, matured na hardworking awe mwalimu au mkulima au mfanyabiashara mwajiriwa popote. Pesa zinakuja kuondoka ila tabia njema ya mtu itabaki always.
 
Kama humtaki mwalimu ina maana kuna option nyingine, unamtaka nani? Polisi, mbunge, injinia, au?

Japo hata polisi coz rushwa nyingi so hizo pesa za ziada zitasaidia kufungua miradi.
 
Nitafute pm nikupe no. za bilionea donald trump nasikia anatafuta mke. "horible" nyie ndo mnajigonga kwa matajiri alafu unaishia kuwa single mother na kuongeza idadi ya watoto wasiokuwa na baba

Et nawe unahtaji ushauri wakati taayari umejishauri!!
 
Nitafute pm nikupe no. za bilionea donald trump nasikia anatafuta mke. "horible" nyie ndo mnajigonga kwa matajiri alafu unaishia kuwa single mother na kuongeza idadi ya watoto wasiokuwa na baba

Et nawe unahtaji ushauri wakati taayari umejishauri!!
 
Japo hata polisi coz rushwa nyingi so hizo pesa za ziada zitasaidia kufungua miradi.
Huo umri mie nadhani mtoto wa kike unatakiwa uwe ushakua na mtu wa kueleweka, kufanya nae maisha ha ha ha mwenzangu bado upo unapiga ana ana doo shauri ako taa nyekundu zikiwaka utaanza lawama
 
Inayoooa ni dyu dyu na c salary #mchunaji #pesambele haya njoo nikuwowe Nina salary kubwaaaa afu dudu aifany kaz ( mfano)
 
Kwa nn hautak kuolewa au Kuna kitu kilikutokea
 
msingi 360000sec kama sikosei 480000 ivi
hujafanya utafiti kama hujui mshahala ya mwl wa sec..hata hivyo sijui kama
unajua maana ya tgts....kwa
mfano ukiolewa na mwl mwenye tgts h then wewe ukawa na d mtapata sh.ngapi kwa mwez...kama ww ni mwl utanielewa
 
Mkataa pema pabaya pana mwita unawataa wa limu leo jiandae tu kuumizwa
 
msingi 360000sec kama sikosei 480000 ivi
watu hulipwa viwango tofauti, ndio sababu kuna TGTS A, B,C,D,E,F,G,H,I, na J. Pia tambua hakuna mshahara maalumu kwa shule za msingi wala sekondari.inategemea elimu na umri wako kazini.
 
Ni kweli hata mim nina mawazo sawa kama ww tafuta mtu mwenye cha zaidi kidogo ambaye mshahara wake ni mwingi kuliko wako hata kama nalipwa 920000 kwa mwezi siwez kutafuta bwana anayelipwa mshahara sawa na mm hata kidogo nitatafuta mwenye hata amenizid kwa laki moja lengo ni kuridhisha tu nafs yang kwamba huyu analipwa cha zaid
Coz mm nahisig tunaolipwa sawa km vile inajenga pcha flan hv ya,ajab
Hata ukiwa na shda hutoweza kumweleza sana maana utahis ni km ww tyu kwa malipo
So muombe mungu upate mwenye cha zaid
 
naitwa Eng Jenseny natafuta mke wa kuoa nahic utanifaa 0625695870
 
Mwalim Shine G inakubidi uwe makini sana na maamuzi yako. Mi nakushauri usiwe rigid sana kwenye hilo maana usije mpata mwenye hela halafu ukawa unaziona kwa macho tu na ukabaki kuwa mtumwa. Jitahidi sana kuwa mtafutaji wewe mwenyewe badala ya kufikiria kutafuta mwenye hela zake. Mara nyingi wakaka wenye hela wanakuwa wasumbufu sana kwenye ndoa na huwa hawasikilizi wake zao. Hivyo kuwa makini sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…