Msinione nacheka cheka hapa JF, Nina Frustration!

Katoto kangu kamoja nilikokazaa kalichukuliwa na Mola on the very same day... Kalikuwa ni katoto ka kiume kalikosheheni kilo za kutosha.
Baada ya kuona safari hasiongi na huyu mwanamke (soley based on what happened) nikamuacha aende zake na hivi sasa keshaolewa na mwanaume mwingine!
Bizness nazo zimekwama. Kila nikiwekeza pesa kwenye biashara zinaliwa tu... Every day nikurudi back to square one!
Kwa kweli mniombee tu! Nina frustration za kutosha...
Pole sana... nlikuwa nafikiria ni zile frustrations zetu...

Ningekushauri uwahi bandarini pale unaweza kuokota bombardier iliyoagizwa na watu wasiojulikana...

Ukamalizia frustrations zako hapohapo
 
Katoto kangu kamoja nilikokazaa kalichukuliwa na Mola on the very same day... Kalikuwa ni katoto ka kiume kalikosheheni kilo za kutosha.
Baada ya kuona safari hasiongi na huyu mwanamke (soley based on what happened) nikamuacha aende zake na hivi sasa keshaolewa na mwanaume mwingine!
Bizness nazo zimekwama. Kila nikiwekeza pesa kwenye biashara zinaliwa tu... Every day nikurudi back to square one!
Kwa kweli mniombee tu! Nina frustration za kutosha...
Mtumaini Mungu kwa jambo lolote, unapopita kwenye magumu, kuna mwingine mambo yake yananyooka. Hata mimi nimekosa pa kuandika magumu yangu katika mwaka huu hadi nitakapovuka magumu haya. Nitaandika hata kitabu.
 
Pole sana mkuu, maisha ni milima na mabonde! Mshukuru Mungu hata kwa pumzi unayovuta!!

Pambana na hali yako!!!
 
Inategemea na biashara unayowekeza hela zako. Change the game man, tengeneza mikakati, uwe na plan A,B,C n.k
 
pole sana kwa kufiwa na mwanao jaman !inaumiza !inaumiza zaid mtalaka wako naye ameolewa umekuwa kama ;scraper;
 
Pole sana mkuu. Mungu akufanyie wepesi katika kipindi hiki. Jitahidi kusema na Mungu kwa Imani yako hakika atakuvusha salama katika hilo bonde lenye giza nene.

Ps: kwa nyinyi watoto wadogo mnaoleta mzaha humu JF wakati mwenzetu anapitia mitihani migumu, muda ndio utawanyoosha na kuwafundisha.
 
Pole sana brother, I can feel the pain,

Hakika maneno uliyoongea yanaonesha ni kiasi gani una machungu.

Lakini usikate tamaa.
 
Wewe si wa kwanza wala wa mwisho kupatwa na hayo.

Mtumaini Mungu na kumtemea KWELI atakusaidia.
 
Katoto kangu kamoja nilikokazaa kalichukuliwa na Mola on the very same day... Kalikuwa ni katoto ka kiume kalikosheheni kilo za kutosha.
Baada ya kuona safari hasiongi na huyu mwanamke (soley based on what happened) nikamuacha aende zake na hivi sasa keshaolewa na mwanaume mwingine!
Bizness nazo zimekwama. Kila nikiwekeza pesa kwenye biashara zinaliwa tu... Every day nikurudi back to square one!
Kwa kweli mniombee tu! Nina frustration za kutosha...
Pole sana, ndio maisha hakuna easy life maisha lazima kuwe na changamoto na hasa ukiwa mtoto wa kiume,kutakua na kejeli fedheha,kusimangwa ukishika hili haliendi lile haliendi,ila kumbuka mwenyezi Mungu hawezi kukupa kilema akakukosesha mwendo,huo mtihani mwenyezi mungu anajua kua utaweza,na inshallah utaiweza muombe mwenyezi mungu kwa bidii na kwa dhati na inshallah atakupa hakuna dhiki wa dhiki..
 
Back
Top Bottom