Msimu wa Zabibu: Kwa anayehitaji zabibu kwa biashara

Libya

JF-Expert Member
Nov 11, 2016
783
1,918
Msimu wa zabibu Sasa umewadia kutoka makao makuu ya nchi Dodoma.Jipatie zabibu kwa Bei nafuu kutoka Dodoma.

Kwa mahitaji ya zabibu kwa ajiri ya biashara tupigie kwa namba 0716175081 Dar es salaam.

Kwa Bei nafuu kabisa ya shambani. Zabibu zote ambazo Zina vimbegu(seed) na ambazo hazina vimbegu( seedless) zinapatikana. Pia zabibu kavu ambazo zimekaushwa zote zinapatikana nyeusi na rangi ya Gold.

Kwa kipimo Cha Jumla kwa wafanyabiashara tunaanzia kilo 20 na kwa rejareja tunaanzia kilo 10 tu. Changamkia fursa muda ndio huu. Malipo ni baada ya kupata mzigo.

Tunasafirishaa mikoa yote Tanzania. Bei huwa zinabadilika kwasasa ni Elfu 4000 kwa kilo 1 . Bei inapanda na kushuka kulingana na uwepo wa zabibu sokoni

Kusafirisha box - 5000 - kilo 20


Screenshot_20210508-081944_1620451387415.jpg
Screenshot_20210508-081954_1620451336713.jpg
Screenshot_20210508-082007_1620451293899.jpg
Screenshot_20210508-082015_1620451247035.jpg
 
Back
Top Bottom