BALINGILAKI JOSEPH
Member
- Jan 6, 2013
- 40
- 12
Wanafunzi wa kike wanatoka shule,wakawakuta wanafunzi wa kiume wanaangua maembe.Mwanafunzi wa kike akaangalia juu ya mwembe akamuomba yule wa kiume "kaka naomba utuangulie maembe"yule wa kiume aliekuwa chini akasema,kama hamuwezi kupanda juu basi.Yule binti akawambia wenzake mie napanda basi,.Mwenzake akamunongoneza,ukipanda watachungulia chupi yako,binti yule kwa hasira si akaivua chupi ili wasiichungulie....akaiweka kwenye madaftari.