BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
1.Nina kadi ya harusi ya czn wangu tarehr 29/4
2.Nina kadi ya harusi ya kaka wa baba mdogo tarehe 15/ 5
3. Nina kadi ya mtoto wa mjomba anaowa tarehe 29/5
4. Nipo kwenye kamati ya kaka yangu toka ni toka anaowa tare 10/6
5. Staff mwenzetu katupa kadi ndoa mwez 7
6. Staff mwingine send off wiki ya kwanza ya mwez wa 7
7 . Nipo katibu wa kamati ya harusi ya rafiki yangu kipenz mwez wa 8, tunaanza kikao cha
Kwanza after pasaka...
Mshahara wangu take home laki 5.. nisaidieni nafanyaje....
Toa
Ila Usile, usinywe usilipe umeme wala maji na kazini uende kwa miguu