Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,877
- 2,482
U've got a point....Na unaona wewe na familia yako hamna zaidi ya Mil 5 ni bora ufunge ndoa ya saa 4 asubuhi na mrudi nyumbani muendelee na maisha la sivyo ahirisha kuoa mpaka upate hela ya 'Royal Wedding" maana ndivyo mnavyotaka siku hizi.