uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 3,958
- 8,296
Kwa upande wa vilabu hii ni miongoni mwa mechi mbili zenye hadhi zenye hadhi zaidi duniani ngazi ya klabu
Timu hizi zote zilicheza english football (mpira wa nguvu na kasi) kabla ya ujio wa makocha wa kigeni (wasio wa kiingereza.
Upande wa liverpool makocha wao bora wa muda wote ni bob paisley na bill shankly.
Upande wa manchester united tunajua ni Sir Alex Ferguson na Sir matt busby
Liverpool na manchester united ndio kielelezo cha mpira wa United kingdom
Kwa sasa mabadiliko ya dunia ya mpira biashara uingereza inatoka inaweka milango wazi kwa wawekezaji kutoka nje kwenda kuwekeza vilabu vya premier
Vilabu karibu vyote vinamilikiwa na wageni usipokuwa Brenford, Brighton, tottenham, Vinamilikiwa na waingereza,wamiliki kutoka nje karibu 80% ni wamarekani.
Vingine vilivyobaki vinamilikiwa na wageni na baadhi waingereza wakiwa na hisa chache.
Kwasasa liverpool na manchester united vipo kwenye makocha wa kizazi kipya Sir Eric ten hag na kloop wa Liverpool.
Mimi binafsi navutiwa zaidi na mbinu ya uchezaji wa kocha wa manchester united eric ten hag kwasababu kila game ina approach tofauti anacheza mchezo kulingana na mpinzani alivyo na pasi zisizochosha kwa wachezaji ni wazi huu mfumo utampa makombe mengi sana kocha wa manchester united ndani ya misimu mitatu ijayo
Ukiangalia manchester united ilivyocheza.
Na timu zenye ubora kwa sasa manchester city na barcelona ni tofauti ilivyocheza na timu za kawaida kama chelsea, arsenal, New Castle na zingine kwenye ligi namfananisha Eric na carlo ancelot hata na Sir Alex Ferguson.
Kitu kizuri kwa Eric ten hag ana personality kubwa so lazima IQ yake ni kubwa mno kumbuka kwenye football management kitu cha kwanza ni kocha uwe na akili kubwa km ilivyo kwa Pep Gudiola,na alivyokuwa Wenger kwahiyo hapa kwa manchester united wamelamba dume ni swala la muda makocha wabovu km michael arteta na wengine mashabiki wataanza kuwakataa kwasababu huyu kocha manchester united ataenda kudominate EPL.
ofauti na kocha wa liverpool anaitaji pressing ya hali ya juu ( huu mfumo unawachosha mno wachezaji misimu mitatu kwao wanageuka makapi.
Kiukweli mimi simuheshimu kloop kwenye team management,kocha anayewaza kupokwa ubingwa kwa point moja karibu misimu mitatu sijawishika kumheshimu km ninavyomheshimu Pep.
Kloop alichukua ubingwa wa Epl kwenye era ya corona ambyo ilikuwa ni stress kwa dunia ikiwemo empty stadiums ili nimuheshimu kloop anatakiwa abebe Epl mbili kabla ya kuondoka Epl
Lengo la ujumbe huu ni kuwa Eric will conquer the europe football in a ten coming years nawahurumia timu km arsenal, chelsea na liverpool kwasababu dorminant itaenda kubaki kwa Pep na Eric km Pep hatakimbia
Hata km mechi ya leo manchester atapoteza dhidi ya liverpool, mashabiki wa manchester united watatoka na tabasamu kwasababu msimu huu wame overachieve
Though naona manchester united akiondoka na point leo
Era come to an End