Msimamo wangu

Msimamo wangu

[emoji23][emoji23][emoji23]sidanganyiki.

Hapo umeamka kunyonyesha baby wako, then saa tisa tena utaamka. Bado chako ni chako tu? Isije kuwa mshahara wako jamaa ndio anauchukua kupangia matumizi ya home[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili nimkomeshe zaidi nitaacha kazi ili vyake viwe vyetu vizuri.
 
Hahaha, hakyanani you're nuts! I know you were having fun with us. I believe you're a decent woman and your man is so proud to have you, japo bado unashikilia misimamo yako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kasome nimeupdate msimamo mmoja, ikiongezeka nitakuwa naupdate zaidi.
 
Hahaha, utamtokea ndotoni hadi atoe talaka, dah! Ulifanya tukatokwa na mapovu humu hararious, wakati huenda ukipenda haswa unampa man wako ile ATM kadi yako akae nayo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni night mare, nikimpa atm card ujue hiyo account iko dormant.
 
Hahaha, utamtokea ndotoni hadi atoe talaka, dah! Ulifanya tukatokwa na mapovu humu hararious, wakati huenda ukipenda haswa unampa man wako ile ATM kadi yako akae nayo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha huu uzi ulinifanya nikatukanwa kweli humu hadi pm huko. Nilicheka sanaa
Nilirushiwa whatsapp hii nikasoma nikachekaa, nikasema lazima nikawatoe povu wanajf na kweli liliwatokaaaa. Jf raha sana.
 
Back
Top Bottom