Msimamo wangu

Msimamo wangu

Eti unikute na nyumba nije niandike majina ya watoto. Una laana wewe.
Na nyumba tujenge wote tuandike jina lako...why? Na why watoto. Kwanini isiwe majina yetu?
*****
 
Dada, usimtenganishe mwanaume na ndugu zake, wewe ni rafiki tu. Ushaapa kanisani kifo kikutenganishe.....halafu asioe
Mi nawaangalia tu halafu nasema hiiiiiiiiiiii (in magufuli's voice)
 
Ulichoandika hapo Ni I am selfish woman, know that before you marry me
 
Eti unikute na nyumba nije niandike majina ya watoto. Una laana wewe.
Na nyumba tujenge wote tuandike jina lako...why? Na why watoto. Kwanini isiwe majina yetu?
*****
Mkuu hata haihitaji hasira, ni jambo dogo tu hilo mbona.
 
Dada, usimtenganishe mwanaume na ndugu zake, wewe ni rafiki tu. Ushaapa kanisani kifo kikutenganishe.....halafu asioe
Mi nawaangalia tu halafu nasema hiiiiiiiiiiii (in magufuli's voice)
Wapi nimesem anitawatenganisha? Hebu kasome tena.
That means kiapo chetu kitakuwa tofauti sio hadi kifo kitutenganishe.
 
Hiyo namba 8 imeonyesha ubinafsi wako kutaka jina lako liwepo

Je tangu 2014 hadi Leo Kuna aliye jitwisha hilo zigo la misumari?
 
MSIMAMO WANGU

1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea, kifupi chake ni chetu.

2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi, unless huo ubahili anaufanya kwenye mambo mengine ili amake more money ila sio kwangu. Tuzitumie zituzoee.

3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa, ila hata yeye asijisahau sana nitakuwa na huruma nazo tu kwavile ni zetu. Akileta ng'e ng'e ng'ee nazo sizihurumii.

4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.

5. Ni marufuku mambo ya joint a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki. Na hiyo accout ni yeye ndio atakuwa anaweka pesa tu.

6. Pesa zangu ni zangu ata password simpi, bora nimpe Mama yangu ata nikifa ajifutie nazo machozi. Tena akileta za kuulizia mshahara wangu naacha kazi ili tutumie zake vizuri.

7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa yake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.

8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo. Kaka tayari unayo/unazo basi uhakikishe zinakuwa na majina ya watoto pindi tutakapowapata.

9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.

10. Nikitangulia mbele za haki kabla yako ole wako uoe mwanamke mwingine, nitakutokea ndotoni hadi ujute. Hata kifo jakitutenganishi.


NIMEMALIZA
Si mpaka umpate huyo mume.
 
Back
Top Bottom