princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,062
Mimi hoi
Wewe hebu kuwa serious basi, mambo marahisi kabisa hayo unayashindwaje?Duuh..huu uzi huu..miaka 5..
Natamani kupata mrejesho kutoka kwa mtoa mada....je alimpata mwenza kwa masharti hayo...na kama alimpata basi sie wanaume wenzake tumfanyie matanga aiseee..manake maisha kama hayo ni sawasawa na kupigwa kafuti maisha yote



Kwa masharti na misimamo hiyo umpatie wapi. Watu tunataka mwanamke atakae kuwa a patner, a friend, a soulmate. Sio headmistress au discipline master.Kwani hapatikani?![]()
Relax cheusi wanguNafikiri litakuwa linakusubiri wewe fundi seremala. Karibu tuyajenge.
Nachokubali ni kuwa uzi una miaka minne na umesimamia kilekileKukuvuruga, hautolala.