Hivi Pm zangu huzioni au ni madharau?Nilishaanza kukusanya, ndio maana nimemnunia.
Naona umeamua kunichora mama..SikutegemeaMungu anakuona baba.
Hii mara ya pili sasa..Nn shida?Kawaida yako kunisingizia.
Acha unaa buana!!Swali linasemaje vileeee
imeshathibitisha kwa kiasi fulani jinsi nilivyokuwa nakupicture kichwaniWanatamani wanimeze walah!!
Avatar imefanya nini mkuu!!
🙄🙄 i kinda doubt thatWalaaaaaa sifanani nayo hata kidogo, niliipenda tu kutoka huko mitandaoni nikaichukua.
Hahaaaaa duuuh!! Nimecheka balaaaaIlibaki kidogo Dada yako akusanye rambi rambi..Bora umeonekana