Msimamo wangu

Msimamo wangu

Nampenda mno ndio maana sina huruma na pesa yake. Nina huruma nae ila sio na pesa zetu.
Unafaa sana, akikuacha tuu nishtue nimreplace maana me ukitumia pesa zangu bila huruma na mimi napitisha tinga tinga langu kwa vurugu humo barabarani
 
Nijuavyo mimi kila mtu ana rules zake ila mnapoingia kwenye ndoa kuna rules zitabadilika au kuachwa kabisa ili muweze kuishi. Wewe unadhan utampata mwanaume gan ambaye hana rules zake? kila mtu akingุุ'ang'ania kubaki na rules zake mtaishije? Tena watu wenye maneno kama spy hua hawana shida kabisa, ukimkuta kwenye ndoa huwez kuamini kama ni yeye
 
Jamani jamani kwahiyo unataka kuniambia huu msimamo utayeyuka!!
Sitaki kuamini!!!
 
Back
Top Bottom