Una hakika hakuna mwanamke wa kukubaliana na hali hiyo? Ndio mimi sasa.Sina imani kama (espy) yuko kwenye ndoa....!!
Yote hayo ni Theory.....practically hakuna Mwanaume wa kukubaliana na ujinga huo...!! Kwani yake ina Tv ndani...!!![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa!! Ni pale ambapo misimamo yako haiendani na ya wengi, lazima wakutungie matukio.Hahahaaa. Uzuri maamuzi ya maisha au misimamo ni ya mtu binafsi, haina uhusiano na sura wala mazingira uliyonayo, inategemea sababu gani zimepelekea afikie hayo maamuzi.
Wewe ndio mwanaume sasa.Mimi kama mwanaume sitakaa nimtegemee mke au mpenzi wangu bali ntapambana ili niwe full time provider kwa sababu naamini huo ndio uanaume na hata dini zimesema hilo sio kaI kulialia
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh kumbe!! Kuna watu eti wanabisha kuwa hakuna mwanamke wa hivyo, nikawa nimejikuta niko peke yangu.Nilishawai kuishi na mwanamke Mwenye tabia kama zako, alishindwa yeye na nyumba akaiona chungu ingawaje ina jina langu na lake.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani huu uzi unanipaga raha sana jamani.
Hiyo roho ni special mama kama hauna hauna tu.
Bas nenda kautafute halafu ndio utajua kuzaa kwa uchungu kukoje.Siufahamu, naufahamu wa binadamu tu.