Msimamo wangu

Msimamo wangu

Hahahaaa wew upo dunia gani?? Lulu gari anayoendesha ametoa wapi?
So sory my dear you know nothing about watu wanaojua kuhonga....
Sijaolewa na nina drive na nimehongwa na aliyenihonga nimempa kibuti na bado kila siku ananipigia magoti turudiane..unaonaje apo??
Wew ndo bahili mwenyew na hauna hela ndo maana akili yako imeishia hapo.. maisha sio magumu kama unavyozani..
Unaonaje watoto wa kike mjini wanavyoishi maisha mazuri? Unazani wengi ni hela zao?
Wanaume wanahonga adi wanakosa nauli tofauti na wew

Usimuumize mwenzio jamani, yeye soko limemdodea anatumia hadi carot na dodoki now, alafu we unadrive si unataka afe kabla siku ya sio zake!!
 
Usimuumize mwenzio jamani, yeye soko limemdodea anatumia hadi carot na dodoki now, alafu we unadrive si unataka afe kabla siku ya sio zake!!

Huyo kachana godoro kila siku anapiga nyeto no way maana hana hela...hahahaaa akabake vichaaa
 
Umezoea bongo movie ikianza hivi unajua lazma iishie hivi si ndio?
Sasa kwa taarifa yako wanaume wenzako wapo tofauti na wew kile uwazacho wew kwao hawakitambui...
Watu na hela zao bhana hawawazi mara mbili...nani alikuambia papuchi inaziriwaga? Ata iwe na misuli kama ardhi bado ina market tuu.
Wenzako wanahonga adi vibibi wanaume wanagombana kisa kila mmoja anataka akumiliki, mwanaume akikukuta una drive anashikwa wivu nani kakununulia...anakwambia baby na mimi nakununulia usidrive hilo roho inaniuma nahisi umehongwa hahahaaaaaaaaa.
Kaka hayo mawazo yako na gazeti lote hilo ni hasira na ukosefu wa fedha wenye nazo wala hawawazi mara mbili unalelewa adi ukiwa kizee.
Gazeti +gazeti

Ni kweli lakini
 
Huyo kachana godoro kila siku anapiga nyeto no way maana hana hela...hahahaaa akabake vichaaa

Hahahaaaaa!! Stress zake apeleke hukoooo!! Badala akasake mkwanja huko busy kupayuka hapa na magazeti yake,yaani hadi namhurumia.
 
Hahahaaaaa!! Stress zake apeleke hukoooo!! Badala akasake mkwanja huko busy kupayuka hapa na magazeti yake,yaani hadi namhurumia.

Akanye huko...yeye amezoea udikteta na wakati mapenzi siku hizi pesa. Atachapiwa kila siku
 
Akanye huko...yeye amezoea udikteta na wakati mapenzi siku hizi pesa. Atachapiwa kila siku

Anajifariji tu ila ukweli anaujua, alivyopayuka tu shows how much stressed she is.
 
Teh teh!! Hayohayo maandiko ndiyo yaliyosema wewe utakula kwa jasho so walaa usitafute excuse, mie ni msaidizi tu wa kukusaidia kuzitumia hizo pesa zetu, mimba haina shida maana ndio jukumu langu, hivi wakati unanimimba kila mwaka unakuwa unanikomoa eti au hao watoto utakaowazaa rundo!!!! Nami uzazi wa mpango siujui nakumanulia tuuu uzipachike hizo mimba kila mwaka eti??
Ushasema "imeandikwa" ndio maana nikaolewa,ila pesa zangu kaa nazo mbali maana haukuhusu ila zako aisee zinanihusu 900%.

Hivi Kati Ya Mume Na Mke Kwa Hapo Tz, Ni Nani Anasubiria Kwa Hamu Ili Mwenzake Afe Ili Arithi Mali?
 
shauri zako ilimradi sipati hasara..
usione utani me sihongi hata kwa ishara..
utaniambia nini mpaka unigeuze fala..
kwanza naskia hongo zinaleta mkosi..
senti tano yangu hugusi hata ukiongea kidosi..
yabakie mapenzi tusileteane ujambazi..
hata upige sarakasi utachonga viazi..
 
espy mkuu, ulishapata mwanaume kiazi ukampa haya masharti kabla ya ndoa na sasa unafurahia ile misimamo yako kumi ndani ya ndoa?

Manake fast forward toka 2014 hadi leo tunategemea mtoto aanze vidudu teh teh!!!


Hii thread umenichekesha, some things I wrote dah , kweli kumbukumbu ya maandishi ni mbaya
 
Ukisikia mtu anaongea hvyo ujue hana lolote anajiliwaza tu make unakuta stress kibao anaamua kuingia jf kujipa hope
 
MSIMAMO WANGU

1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.

2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.

3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.


4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.



5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.

6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.

7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.

8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.

9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.

NIMEMALIZA

Hongera kwa misimamo, na utamsubili sn mwanaume boya boya kama huyo. Hivi, hayo ndo mliyoakubaliana beijing ee!!
 
Back
Top Bottom