"mwanaume" ni neno ambalo wengi wanalimiss-use kujiita
Mweeeee! Oooh poor wamachame wanasingiziwa kweli yaani!!! Hebu usichume dhambi bureeee.
Yaan nikikutana na mchumba kama huyu nitalazimika kudelete tu, hakuna namna
Iko poa bt upunguze ubinafsi maana siku yakikugeuka hao ndungu hawatakuangalia usoni.lakin pia hayo yanakuwa applicable kutokana na nature ya mwanaume ulienae au utakayekuwa nae.huwezi kudisplay hizo tabia kwa mwanaume ambaye ni honest.
kweli wake walishaishaga. siku iz kuna wauza papuch kwente ndoa.
kwenu nyie mna mali?
wewe una miliki sh ngap?
Mali za kwetu au zangu zinakuhusu nn??? Hahahaaaaa hv ulikuwa hujui kumbe? Ulitoa mahari ya kazi gani?
Basi mwanaume inabidi aendelee kuwa mwanaume, kuniuliza mali zangu kutakudissqualify.