Msimamo wangu

Msimamo wangu

Analala na mume huyo na ana makaratasi halali.

Bora umesaidia maana humu watabiri wa hali za mahusiano na ndoa wengi, anadhani kama kwake haiwezekani basi kila binadamu aiwezekani.
 
Hahahaaaaa Eli79 walaa siwafundi, nimewaeleza tu msimamo wangu, ila sio lazima na wao uwe msimamo wao. Hv kumbe nimeolewa!!! Hebu ngoja nikumbuke

Hahahaha...hapo bold nimecheka sana! Umesema kuwa umeolewa hapo mwanzo, au ulipitiwa? coz nimefadhaika sana kujua kuna mtu anafaidi huko.
 
Last edited by a moderator:
Tangu lini siri ikawa ya wawili? Akuu we nenda ukitolewa na panga ndio urudi upange mkakati mpya, waweza shangaa akakupa tu bila shida

Walaaa kwako ndo ilipo maana ww ndo huwez kuikosa af huwez kuvujisha cr 7babu unajua ukivujisha n msala kwahyo itabak kua cr yetu
 
Watu wa type hii wanafikishaga hadi miaka 40 hawajaolewa au wakiolewa wanaachika baada ya mudda mfupi sanaa...
 
Hahahaha...hapo bold nimecheka sana! Umesema kuwa umeolewa hapo mwanzo, au ulipitiwa? coz nimefadhaika sana kujua kuna mtu anafaidi huko.

Hahahahaaaaa!! Hapo nilikuwa nawaza hv ikitokea jamaa akajua hii id ndio mkewe si balaa hili, Usifadhaike bwana kwani ina metre hii??? Teh teh teh
 
Walaaa kwako ndo ilipo maana ww ndo huwez kuikosa af huwez kuvujisha cr 7babu unajua ukivujisha n msala kwahyo itabak kua cr yetu

Hahahaaaa! Utaniponzaaa kwa jambo hili,hamnaga siri ya watu wawiliiii, kwa mbaali nimemkumbuka V.money
 
Wewe unalainika kirahisi sana, na kweli usipobadilika utaishia kuwa kimada tu

Sasa nibadilike tena wakati mume wangu Mungu kanipa wa kufanana nami? Alafu kuchukulia jf too serious utakufa na vihoro, shaurilo
 
Watu wa type hii wanafikishaga hadi miaka 40 hawajaolewa au wakiolewa wanaachika baada ya mudda mfupi sanaa...

Pepo shindwaaaa, tokaaaa ktk jina langu, aimeeeen.
 
Sasa nibadilike tena wakati mume wangu Mungu kanipa wa kufanana nami? Alafu kuchukulia jf too serious utakufa na vihoro, shaurilo

Watu wamekunyoosha hadi ukajishtukia, sasa unasema kuwa tusiichukulie JF serious.
 
Watu wamekunyoosha hadi ukajishtukia, sasa unasema kuwa tusiichukulie JF serious.

Watu gani labda waloninyoosha!! Nakushangaa tu wewe ulivyonikomalia utadhani ndio mume wangu!! Yaani ninyooshwe jf!!! U must be going nuts for sure!
 
Ila ndugu zako ndio ruksa kugusa eeeeh nyie si mnataka haki sawa siku hizi au umesahau
 
Ila ndugu zako ndio ruksa kugusa eeeeh nyie si mnataka haki sawa siku hizi au umesahau

Ndio tunataka haki sawa ila sio wajibu sawa maana wajibu kamwe hauwezi kuwa sawa!! Ndugu zangu halikadhalika hawana hiyo haimiliki.
 
Back
Top Bottom