Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,373
- 176,212
- Thread starter
- #821
Wanatetea hoja kwa hisia. Ipo hivi...
Kwenye mdahalo huwa tunakubaliana kutokubaliana, sasa ukiona mtu badala ya hoja anatumia makusudi maneno mabaya unajua tu huyu kaguswa yeye kabisa.
Kuna watu humu wanajibu tu hoja haijalishi inawahusu au haiwahusu.
Ila kuna watu wanajibu kwa hisia unaona kabisa tungekua tunaonana wangepigana.
Umenielewa eeh..?
Naemagine matusi ya jf yangekuwa mawe!! Teh teh teh teh
Yaani mtu anakurupuka huko kapanik utadhani ndio mume wangu, khaaaaa!