wapi nimewagombanisha wakati nasema ukweli
Tized kama sio mchungaji basi utakuwa padri(a.k.a baba paroko)....
si ili umoja kwenye chake uendelee kuwa thabiti
Tized kama sio mchungaji basi utakuwa padri(a.k.a baba paroko)....
hizo tabia ndizo zinazotakiwa ktk jamii, lazima tujenge jamii iliyo bora kwa msingi huu
pitia uzi, utaona mahali wamemtaja pacha wangu, yaani tuko copy right
Dah,mkuu Matola umeongea jambo muhimu sana. Ngoja ajibu km amewahi kushika japo 1ml.Kabla sijachangia ningependa kujuwa umri wako kwanza halafu nenda kasome kuna thread humu ya mapenzi na umri ndio tutaelewana.
Maana yake tusije kujadili mambo ya pesa hapa kumbe hujawahi hata kumiliki 1 million yako mwenyewe wakati humu kuna watu millioni kwao ni buku tu.
Yani kumbe upo kama mbuta nanga....na masharti yote haya! Kwa kweli hata salam hupati....labda upunguze masharti na tena uanze ww kutoa hi. Lol
uwiiii!!! kwahiyo zile nyingi ninazopataga huwa ni unafiki!!! km ndio hivyo nimeamini kuna wanafiki wengi dunia hii
Huu mtazamo na msimamo ni wa mtu aliye single..ivi kwa mfano umeolewa ukaskia mmewako anaumwa labda anatakiwa operation ya haraka na mfukoni ana hela kidogo na matibabu yanataka hela kidogo na wewe unazo utabaki na huo msimamo..na nyinyi wakubwa hapa muwe mnaangalia vitu vya kuunga mkono..!!!!wamachame wapi wanawake wengi wanamtazamo huu sema wengine wanaogopa tu kusema waziwazi wataoneka magold digger.