Msimamo wangu

Huyu ana stresss za kufikisha miaka zaidi ya 30 hana mchumba na hajawahi chumbiwa na hata kutokewa hajawahi tokewa so baada ya kukosa kote huko kaona aweke vigezo vyake ambavyo anajua kabisa hata pata mtu.
 
Weka hata picha ya kucha basi! si masharti marefu km zindiko la utajiri kumbe binti mwenyewe Asha Ngedere afadhali, kicheko ka cha Bi Chau!?
Akiweka picha utaona UGOKO wake umekomaa kama NONDO za kujengea ghorofa!........
 
Tized kama sio mchungaji basi utakuwa padri(a.k.a baba paroko)....
 

atoto tisha sana
 
Last edited by a moderator:
Ni nini kinachokusukuma kufikiri na kuamua hivyo? Hapo ndipo kiu yangu ilipo wala sio swala la kushare. Tunajua familia ni Jukumu la mwanaume.


si ili umoja kwenye chake uendelee kuwa thabiti
 
Huyu ana stresss za kufikisha miaka zaidi ya 30 hana mchumba na hajawahi chumbiwa na hata kutokewa hajawahi tokewa so baada ya kukosa kote huko kaona aweke vigezo vyake ambavyo anajua kabisa hata pata mtu.

hilo haliwezekani kabisaaa
 
Je, kuna sababu inayokusukuma kuwa na msimamo huu?
..yaweza kuwa malezi, baba na mama waliishi hivyo kwa hiyo na wewe unataka kuishi kama wao?
..yaweza kuwa uliumizwa na mmoja kati ya maex wako katika swala la finance?


huu ni wangu tu walaa hauhusiani na wazazi wangu!! alafu hata cjui kwakweli aisee
 
we mwepes tu.huna ugumu wowote tena unakubal kumegwa alaf ndo usitoe mshiko?kam umekubali kutowa chamwilin ushindwe pesa?

pesa haitoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…