respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
Naona jana ulichukia sana vijana wa bavicha walipokuchachavya.Kutokana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.
Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.
Mimi nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.
naamini siku moja CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.
CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale huo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.
Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!
Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!
Rosemary Kimaro!
Kutokana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.
Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.
Mimi nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.
naamini siku moja CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.
CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyalehuo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.
Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!
Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!
Rosemary Kimaro!
Haya mambo ya ndoa ndoano yanaingiaje tena JF ambapo hatushabikii itikadi za vyama?.Nawashaurini nyie wenye vyama vyenu msituharibie jukwaa.Hayo ya vyama vyenu iwe CCC,CCM,CDM n.k. nendeni mkasutane kwenye platforms za vyama vyenu.rosemarie hata usipate shida.JF sio platform ya CHADEMA.
Najua CHADEMA ina platform yake ya kutangaza na kujulisha jamii mambo yaihusuyo
Na platform hiyo sio JF
Na hapa JF kuna msemaji wa chama Kurugenzi ya Habari na Tumaini Makene
Sasa kuna watu wapuuzi kama Molemo hao wasikupe taabu....Ni wapuuzi wachache ambao tunao CHADEMA.
CHADEMA ni chama kikubwa inabidi pia tuvumilie kuwa na wapuuzi kama hawa
Nakubaliana na wewe na naukubali msimamo wako...Katika CHADEMA tufuate kanuni,sheria na Katiba ya chama...hivyo ndivyo vituunganishe.
Asante.
Forward Ever,Backward Never
Freeland wa JF!
Haya mambo ya ndoa ndoano yanaingiaje tena JF ambapo hatushabikii itikadi za vyama?.Nawashaurini nyie wenye vyama vyenu msituharibie jukwaa.Hayo ya vyama vyenu iwe CCC,CCM,CDM n.k. nendeni mkasutane kwenye platforms za vyama vyenu.
Kama hukuwahi kutambua kuwa CHADEMA kupitia BAVICHA kina watetezi wa kiwango cha chini kabisa katika uelewa wa masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii basi utakuwa mgeni hapa Jamiiforums.
Nguli wa behavioral science aitwaye Steve Maraboli aliwahi kusema, People tend to be generous when sharing their nonsense, stupid and ignorance.
Hawa ndiyo BAVICHA.

Ina maana na wewe ni miongoni mwa wale niliowataja sio?!Bora wanafiki muendelee kufarijiana.
Kamanda huyo ni Act akishirikiana na mchepuko wake ccmnapata shida sana kama kweli wwe ni mwanachama hai???
kwasababu ungekuwa umeshashauri haya yote kwenye platform za chama na sio majukwaa ya mitandao.
Hapa ndo napopata shida na Watanzania kama wwe
Umeshindwa kujenga hoja zaidi ya kuleta story tu za jumla jumla.
Unajua unaweza ukawa na hoja ila kama umeshindwa kujenga hoja hiyo,basi wewe pia ni aibu kwa chama.
Huyo mchawi niyupi na huko mwandiga ni wapi? seriously i wanna knw!Umeeleweka ila ww hufanya hayo upande wa pili~msalimie mchawi wa mwandiga
Kwanza kusema wewe ni chadema umetuzalilisha cdm hatuna mtu mwenye hoja dhaifu na isito eleweka kama wewe sasa ukiulizwa na mtu umesema nini utasemaje
Usitubabaishe bwana, chadema ilikuwepo, ipo na itakuwepo hata bila wewe, wewe ni sisimizi tu, kwanza unashindwa kutambua kuwa wengi humu tunatumia ID ambazo si halisi, kwa mfano, Jenerali Ambamba, sasa kama mimi ni mwana CCM lakini nia yangu ni kutaka kuwa-provoke wanachama wa chadema wagombane lazima niandike kwa mwelekeo wa kuwa mimi ni mwenzenu yaan mwanachadema!
Pia, unashindwa kutambua kuwa, kila mtu ana upeo wake wa kufikiri hivyo namna unavyowaza wewe siyo lazima na mimi niwaze hivyo!!!!!
Tatu: Natilia shaka uanachama wako ndani ya chama, mwanachadema haropokei sebuleni bali chumbani.