Msimamo wangu ndani ya Chama

Wewe ndani ya chadema ni sisimizi tu unatumiwa na ccm kibaraka mkubwa wewe huna nafasi ndani ya chadema.
 

Nadhani Malipo yako Pale Lumumba yanaongezeka unavyomtaja Molemo.

Kila leo hupati amani bila kunitaja.

Ningejua jinsia yako ningewaza mengine..

Kila saa Molemo..Molemo..Molemo

Kama hufurahishwi nami why everytime keep on mentioning my Name???

Ujue ninavyokuupuza sihangaiki na wewe.

Shame upon you!
 
Last edited by a moderator:

Uvccm ndio kuna vichwa maji kazi kuwaza ubwabwa tu na mishangingi ndio mmeijaza huko mwaka wa 53 huu mnajivunia nini .
 
Nimekusoma na nimekuelewa vyema, Inavyoonyesha kuna kona ulivurugwa sasa umekasirika halafu ukaamua kuanzisha uzi kuongelea yale yaliyokuvuruga. Bahati mbaya tena afadhali ya kule kuliko hapa. Dah!! Pole sana ndio siasa hizo. Nasikia zito nae kalamba sate?
 


Mimi nikiwa kama mwanachama wa
CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.


Dada angu umeeleweka kwa yule ambaye una bif naye tu. Uko emotional lakini uliyemtarget hatumjui na hatujui alikuprovoke vipi. Kama mpiganaji ngoja nikupe pole japo sijui maumivu yako wapi.
 
Mtu huheshimiwa kutokana na michango yake siyo unaleta utumbo halafu unalazimisha tukuheshimu Kwa lipi? uliwahi kuheshimu mavi...


Mkuu Crashwise,

Ndani ya CHADEMA sio wote tutafanana mawazo!! Kumbuka tukichukua Dola, hata hawa akina Rosemary tutawaongoza!! Akileta "mavi" tunamuelekeza kwamba haya ni mavi usiyalete tena ndani!! Lakini pia Rosemary anatakiwa kuwa msitaharabu!! Ikishindikana tunakubaliana kutokukubaliana ila asitutishe eti ooh I have to think twice
 
Chadema ni magaidi

Na wewe nawe

Hujisikii aibu ku comment upuuzi?

Kama CHADEMA ni magaidi serikali yenu iko wapi kuidhibiti chadema

Mkiwa mna comment walau jitahidini kuonekana kama walau mmebakiwa na kiwango fulani cha akili

Asante
Forward Ever,Backward Never
Freeland wa JF!
 
rosemarie

Na wewe ni mpumbavu, una gubu sana. Sijui ndio ulokole wako wa kuunga unga? Molemo amekulipua kama mngemalizana kule kule sio kuja kujaza server kwa mikamasi yako kama hii. Mpuuzi sana wewe

Mkuu siyo vizuri kutumia Lugha kali kiasi hicho ni vema ungemuelewesha taratibu,naamini angekuelewa.
 
Last edited by a moderator:
mbona mtoa mada hausomeki!

umekwazwa nini na cdm
 
Dada tunaheshimu msimamo wako, lakini msimamo ukiwa wa kijinga lazima utabadilishwa na msimamo wenye akili tu.
 
napata shida sana kama kweli wwe ni mwanachama hai???
kwasababu ungekuwa umeshashauri haya yote kwenye platform za chama na sio majukwaa ya mitandao.

Hapa ndo napopata shida na Watanzania kama wwe
 
Sina hakika kama nimemuelewa da rose, mfano hata mmoja wa anacho kinung'unikia hakuna; sina hakika pia kama CDM ime plant watu wake humu kama ilivyo ccm cause wengi wetu tunaoipenda CDM hatumfahamu hata kiongozi 1 walau kwa kushikana nae mkono zaidi ya kuwaona kwenye mikutano, TV n.k; kinachotufanya tuichangie CDM ni mapenzi yetu tu kwa chama hicho kwasababu kimejipambambanua chenyewe kisera, tabia na uongozi wa mifano mbele za Watanzania wengi, mleta uzi njo upya tukuelewa concern yako ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…