Msimamo wangu ndani ya Chama


Hujui unachoongea. Two points:

1. Kama hakuna mtu au hoja ya kukubadilisha, wewe utakuwa jiwe au mfu.

2. Pili, umesema chadema ni binadamu na ccm ni binadamu, wroooooooooong. Unajua maana ya katiba? Unajua kwa nini katiba inakuwa referred as a living document?

Kajipange upya. That's all.
 
hakika cdm ina kazi ngumu mno ! kama hata wewe ni mwanacdm hii ni hatari sana ! huna hoja , umeleta povu tu sasa sijui tukusaidieje ?
 
...mbona watu kama wewe hawapo chadema,nawaona ccm
 
Sio trees za kukosa u dic hizi alikuwa Na matumaini hakuangalia vigezo wameukwaa waliofungasha kama anabisha awake picha
 
rosemarie

Fuatilia huu uzi wako kuanzia page ya kwanza mpaka ya mwusho.Soma hisia za wanachadema wa kweli! Siyo vibaraka wa Lumumba.

Ukishasoma fahamu hizi nisalaam za wanachadema kwa Team Lumumba.

Ukipenda muanzishie tena Molemo thread nyingine ya kupimana naye ubavu kuhusu ni nani mwanachadema wa kweli.

Pole lakini..
 
Last edited by a moderator:
hakika cdm ina kazi ngumu mno ! kama hata wewe ni mwanacdm hii ni hatari sana ! huna hoja , umeleta povu tu sasa sijui tukusaidieje ?
Wanaume wamekua adimu sana siku hizi, hii aliyoleta ni aina ingine ya utafutaji wanaume,
 
Rosemarie,umeeleza ya moyoni na ya ukweli. Hongera kwa kuwa mkweli kwan ukwel daima humweka m2 huru.
 
rosemarie

Na wewe ni mpumbavu, una gubu sana. Sijui ndio ulokole wako wa kuunga unga? Molemo amekulipua kama mngemalizana kule kule sio kuja kujaza server kwa mikamasi yako kama hii. Mpuuzi sana wewe

Mkuu IKWETE ,

Huu ndio upumbafu ambao rosemarie kauzungumza na kuufafanua juu wa nyie CHADEMA.

Mmekuwa watu wenye mihemko na upikinini wa Kininga sana. By the way, wanajukwaa wengine tumekudharau mno.

Mama wa watu kaweka wazi kabisa kwamba, kama una point au hoja juu ya hoja yake, njoo uchangie.

Ok, maybe amekosea kusema hivyo. Sasa kati ya yeye (kichaa) aliyekimbia na Nguo zako wewe mzima ,then ukamkimbiza ukiwa UCHICHI namna hiyo, nani tumwone MBULULA?

Actually, wewe ndiye mbulula. Na hii ndiyo sababu Watanzania wataendelea kuwaona CDM kuwa ni watoto wachanga na hamuwezi kufanya lolote and you are soon going to die the same Natural death happened to NCCR-Mageuzi,CUF & TLP consecutively.

Over!
 
Last edited by a moderator:
Inataka moyo kukuelewa kwenye huu uzi wako,yani hueleweki unataka mume au!?
 

molemo hapa tunapoteza muda tu kwa huyu msaliti
 
Last edited by a moderator:
CHEDEMA TANGU mwanzoni mwa miaka ya 1990.mpaka leo hata siyo katibu wa msingi,tawi wala kata?
Kadi namba hakuna?
Viongozi wako akinanani huko unakotoka?

Nadhani unataka identity yake ili umfanye mbaya kama Chacha Wangwe
 
Naona umefika kwenye kukushikisha ukuta sasa
nakuambia hivi; navumilia tu kuungana na jishoga katika hii vita kwa sababu nimechoka na utawala wa hawa wakoloni weusi lakini najua fika wewe utakuwa shoga. nakazi za mashoga zinafahamika popote pale dunia, uandishi wako wa kimbea unaongea zaidi. kwa heri jishoga. mtoto sio riziki wewe. ungekuwa wangu ningekubadilisha na pakiti moja ya sigara.
 

maneno hayo ya dhahabu hayana maana yoyote kwa chadema. Demokrasia kwa Chagadema ni kwenda kinyume na CCM. Huyo ni ujinga usiopimika
 
Naomba nikwambie watu wote double standard hatuta wavumilia.. naomba ninuku kauli ya mwenyekiti wangu HATUTA VUMILIA WASALITI NATUKIWAKAMATA mwisho wakunuku... jitafakari kama kweli upo chadema

Chadema Kwanza

We kima uliyekatwa mkia unaonekana uko narrow-minded sana..na juu ya hayo, uko brainwashed! Kwako mtu yeyote anayeweka mtazamo tofauti basi ni msaliti...stuuuuupid black brigade!
 

Tatizo lenu mnajiona mna hati miliki ya chadema kwakuw mko karibu na wakina Slaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…