Nilivouona mwandiko wako ndio nimekuwa sijambo kidogo, ila pacha si tulikubaliana tuwe tunaagana jamani?
Utaniua kwa mawazo pacha wako! Nikifa kwa kukumiss dhambi zangu zote zinahamia kwako!
Kwa kifupi kabisa tuwe tunaagana...nakusubiri nyumbani uje unisimulie kunani kati yako na wifi @FPKweli Pacha, siku 'ingine ukiamua kupotea uniage aisee.
Me mzima kipenzi changu.
Nasikia siku hz uko na Mamzalendo!
Kuna ukweli hapa?
Thibitisha,roho yangu ipate poa.
I've got an idea KARIA, naomba unichangie kwa kuwa nategemea kufunga ndoa na Mamzalendo mwishoni mwa January 2013 please cooporate.
Me mzima kipenzi changu.
Nasikia siku hz uko na Mamzalendo!
Kuna ukweli hapa?
Thibitisha,roho yangu ipate poa.
Well eti leo jumangapi Mamzalendo? Umemsoma Arushaone hapa. Naomba mwongozo wako.
mamii habari napita tu naona mnasalimiana nasubiri jibu lake na hili neno kipenzi changu kama limenigusa vile
Mbona hilo swali ngumu sana? Source: Madame B
ahsante my dear kumbe kamati zimeshapamba moto hivyo sasa lile gauni vipi mimi kukodi sipendi najua hata wewe dear sasa lini?
ahsante my dear kumbe kamati zimeshapamba moto hivyo sasa lile gauni vipi mimi kukodi sipendi najua hata wewe dear sasa lini?
Unapita unaenda wapi darling Mamzalendo? niandalie nguo za kesho kwa ajili ya weekend mpenzi.