Kuamini mtu in totality ndiko kunakowafanya watu wenye akili ndogo washabikie ccm hata pale wanapotanabahishwa juu ya uhusiano uliopo kati ya maisha magumu & anguko la taifa na ccm.
Hoja nzuri akisema, unachukua, halafu unamwacha na uzabizabina wake kwa sababu uzuri na ubaya havichangamani. Akifanya baya, lisemwe bila kumung'unya na akifanya jema lisemwe bila hila. Lakini usiweke imani yako kwake moja kwa moja kwa sababu ni ndumila kuwili. Hachelewi kugeuka na kuharibu, tena makusudi kwa maslahi yake binafsi na wapambe wake.

Tatizo lake haaminiki....!
Kama alichosema kimetoka moyoni mwake, basi fahamu zake zimerudi nyumbani.