Tatizo zito anatabia za ubinafsi, kiburi na maringo vinavyompelekea kujitenga na wengine kwa kususa kama toto jinga.
Yeye anaona kuuza sura kwenye media kwamba anataka serikali tatu lakini majina tofauti ya yaliyoandikwa kwenye rasimu ya warioba ni wazo tofauti?
Nimekutana na wajumbe wengi wa BMK hapa Dodoma, hata wanaotoka ccm sipendi kuwataja kwa ajili ya usalama wao ndani ya chama; na pia nimebahatika kuzungumza na baadhi ya wajumbe walionje ya BMK kwa kuheshimu maazimio ya umoja wao wa UKAwa, kwa nyakati tofauti wamekuwa na haya ya kusema.
1. Tatizo kubwa limetokana na ccm kuwaburuza na kubadili misingi ya rasimu bila kutoa nafasi ya kupata ufafanuzi sahihi kutoka kwenye tume na kuwapa fursa kuchanganua namna gani Serikali tatu ziboreshwe.
2. Aidha wabunge wawili wanaotoka UKAWA wao wanasema, kama rasimu ya II ingejadiliwa, walikuwa na hoja za namna gani Muundo wa serikali tatu uboreshwe zaidi ili kuondola uwezekano wa kutoka mwanya wa mmomonyoko wa Muungano. Pila likiwemo suala la majina ya hizo mamlaka kuu tatu katika uendeshaji wa nchi ili kuweka bayana supremacy ya Seriakli kuu, kwa hizi seriakli za zanzibar na Tanganyika.
3.Mmoja aliniambia tunahitaji kuboresha mfumo wa seriakli tatu kwa kuangalia Mamlaka ya kila serikali, mahusiano ya hizi serikali na kuweka sheria za uwajibikaji wake kwa maslahi ya Tanzania Imara. Wenzetu wameonesha hofu ya majina ya uongozi kwamba itakuwaje wakawa maraisi watatu, we can call these guys anyhow, kikubwa ni mmlaka gani wanasimamia.
My take, hayo ndiyo maboresho yaliyotakiwa kufanyika na BMK, ili kuondoa utata na kuimarisha zaidi rasimu and si kuandika rasimu mpya.
Zito Kabwe kwa kupenda masifa, ndiyo anakwenda mitandaoni kujibainisha kwamba hawezi kushirikiana na watu wenye mawazo tofauti na yake. Huu ni ubinafsi wa ovyo na unaonyesha ni namna gnai hafuai kuwa kiongozi.
Hakuna kiongozi anayeweza kuongoza kama hana uwezo wa kuunganisha hoja na mitazamo tofauti ili kupata kitu kilichobora kwa ajili y akufikia malengo yalokusudiwa. Zito hafai kwenye uongozi hata chembe.