Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Imethibitika sasa kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Z itto Kabwe(Chadema) ameungana na kundi la wabunge wa BMK wanaotetea msimamo wa maoni ya wananchi yaliyowasilishwa na Mh. Waziri Mkuu mstaafu na Kada wa CCM mh.Joseph,Warioba.

Tofauti na kauli aliyoitoa akihojiwa na moja ya redio inayomilikiwa na kada wa CCM mwishoni mwa mwezi July kuwa "Yeye Hayupo UKAWA, na hajawahi kuwa UKAWA".......Wachambuzi wengi wa mambo wanaona kuwa bado yupo UKAWA kwa hoja zifuatazo;-
1. Wanaukawa wote na wanaomini katika UKAWA wamesusia vikao vyote vya BMK....na Zitto pia
2. Wana UKAWA wote wana amini katika Serikali Tatu na Zitto Pia.
3. Hata kama msimamo wake ni kutaka maridhiano kama wananchi wengi wanavopendekeza, hata wajumbe wa CCM waliowengi akiwemo Mwigulu Nchemba ana msimamo huo na amehudhuria kikao hicho.
4.Kama hayupo UKAWA au pengine kundi lolote kwanini basi maoni yake yafanane sana na ya UKAWA...coincidence? superiority complex?
The great concern remains whether this, once the most influential MP especially among youth from opposition is just testing the political winds so that he could change his mind and rejoins the Tanzania Kwanza is not clear.....but as far as the political situation of the country stands Zitto follows UKAWA ideology.
As it is clearly known that being part of UKAWA does not lie on the question of paper registration but the belief in UKAWA ideology.
Some analysts goes one step further arguing that even Leticia Nyerere (CHADEMA), and Clara(CUF) were also the member of UKAWA, but since they have joined hand with the rulling Party to betray the Wananchi Opinions have Clearly dis-register themselves from the same.

Swali linabaki, kinachomnyima kijana huyo msomi na mwenye ushawishi kutamka tu kuwa anaungana na UKAWA kutetea katiba ya wananchi ni nini, ikizingatiwa kuwa kimtazamo na kimsimamo yupo UKAWA.



bado atakua msaliti
 
Haaaaa!!
Huyu Zitto naye anatuchanganya, hivi chama cha ATC nacho kipo UKAWA?
 
Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA) na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Ndugu Zitto Z. Kabwe ametamka wazi kuwa yeye anaunga mkono UKAWA na hatarejea Bunge Maalum la Katiba hadi pale patakapokuwa na maridhiano. "Siwezi kushiriki mchakato ambao hautakuwa na mwisho mzuri" alisema Zitto aliyekuwa akizungumza kutokea Dar es Salaam.

Kuhusu baadhi ya Wajumbe kutoka UKAWA kuanza kurejea Bungeni Zitto amesema kuwa hawezi kutoa maoni yoyote kwakuwa huo ni uamuzi binafsi wa wahusika. "Katiba ni jambo la maridhiano" alisema Zitto alipokuwa akisisitiza kuhusu maridhiano ya pande mbalimbali katika mchakato wa Katiba mpya zikiwemo CCM na UKAWA.

Chanzo: Radio E FM (Mahojiano ya asubuhi hii kati ya Zitto na Sebo)
 
Siasa ndio hizo mpaka uwe unaweza kugeuka geuka unatazama upepo, Sio 6 siyo kuwa akikabidhi Katiba tarehe 31/10 watamuanzisha kama Warioba ili asogombee hata kule kwao sijui Urambo au wapi vile
 
Ukweli upo palepale. Pamoja na kwamba zito ana roho ya usaliti ukweli unabaki palepale kwamba ukawa wapo sahihi.
UKAWA wangekuwa sahihi kama wangefuata Sheria! Ila ni mabingwa wa kulaumu kuwa wengine hawafuati Sheria wakati wao ni wakiuka Sheria wakubwa!
 
Back
Top Bottom