Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

We kweli bado sana, sijui kama hata huwa unatafakari kile unachoandika. Hii sensa ilifanywa lini na wapi? Na ilifanywa na idara gani ya Serikali!?

Msimamo wa UKAWA mi wa wananchi 17,000.
 
We kweli bado sana, sijui kama hata huwa unatafakari kile unachoandika. Hii sensa ilifanywa lini na wapi? Na ilifanywa na idara gani ya Serikali!?

Huyo buchan ni wa kutiwa buchan aliwe nyama cz akili zake makalioni
 
Nafikiri sasa ifike muda tummsahau huyu mtu maana nashangaa kila siku zito,halafu habari yenyewe ni ya kawaida tu,kwa UKAWA ilipofika sasa si lazima zito atuunge mkono ndio ionekane UKAWA wana hoja za msingi hata bila zito UKAWA tunasonga mbele.Viva UKAWA.
 
Kocha nmeipenda hiyo...
 
Zito kila la heri nakutakia kuwa pamoja na chama chako watakuelewa tuu.
 
Hahahahaha lol!!!! Anajaribu kupima upepo unaelekea kipande ipi naye aunge tela.... Chezeya usaliti weye!!!!

anapata tabu sana kurudisha heshima aliyokuwa nayo
 
Katiba ya nchi haiwezi kuandikwa bila maridhiano ya makundi yote. Sitakwenda Dodoma licha ya ushauri mbalimbali kwamba nikasemee ndani. Nitakwenda kwenye Bunge la Katiba pale tu nitakaporidhika kuwa kuna maridhiano baina ya makundi na wadau. Ushauri wangu ni kusitisha Bunge Maalumu na kukubaliana maeneo kadhaa ya kurekebisha katika Katiba ya sasa kisha tupate muda wenye utulivu baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 ili kuandika Katiba Bora. Umoja wa Katiba Bora yenye ridhaa ya wananchi ndio kupona kwa nchi yetu dhidi ya machafuko. Wenye kudhani Katiba ni sawa na ushabiki wa Simba na Yanga wasubiri Ligi Kuu ianze waende Uwanjani kushabikia.

At least Zitto kaonyesha ukomavu kidogo kwenye hili
 
Tatizo lake haaminiki....!
Kama alichosema kimetoka moyoni mwake, basi fahamu zake zimerudi nyumbani.

kwa kauli kama hii anaweza kupimika kweli? hivi kwani msimamo wa ACT kwenye katiba mpya ni upi?
 
Kulikuwa na haja gani ya kuanzisha uzi mwingine? Well, UKAWA haihitaji kuungwa mkono na Msaliti yeyote yule ... Zitto ni Opportunist mwenye kupima upepo unavyo vuma ... baada ya 2015 life will be very lonely kwake... ameji isolate mwenyewe kwa tama zake za fedha na umaarufu wa kijinga...
At least Zitto kaonyesha ukomavu kidogo kwenye hili
 
Chama ambacho "Viongozi" wake wamejificha nyuma ya pazia ili kuangalia upepo unaelekea kipande ipi, kamwe hakiwezi kuwa na msimamo Mkuu.

kwa kauli kama hii anaweza kupimika kweli? hivi kwani msimamo wa ACT kwenye katiba mpya ni upi?
 
Maskini Zito! Anajikuta kwenye double standards tuu. Kuhama anaogopa kubaki anataka. Atakuwa mtu wa mwisho kutoka eti.
 
Kwa hiyo, kwako wewe kiongozi mzuri na makini ni yule mbinafsi, anayejali mitazamo na matashi yake peke yake? Kazi ipo!

Zitto ni kichwa ndio maana huwa hasukumwi kufanya jambo na mtu,huwa anaamini na kukisimamia ipasavyo kile anachokiona ni sahihi.Hakuna kioongozi makin kama zzk
 
Huyu jamaa ni mbinafsi na anapenda kujionyesha kwa ubishi. Kwanza aliyemwabia UKAWA ni kitu cha kudumu ni nani kama siyo kiherehere chake cha kutaka kuonyesha kwamba anajua kuliko wote!. Kwa sababu UKAWA kimeundwa kwa ajili ya kutetea Katiba ya Wananchi, sasa anaanza kubeza sustainability kwenye media badala ya kuongea na wajumbe wengine kama anadhani kuna umuhimu wa UKAWA kuwa kitu cha kudumu. Jamaa mnafiki na mbinafsi sana.

UKAWA hawana sababu ya kumwamini Zito kwa sababu yawezekana anajinafikisha kwao, wamkubali halafu awavuruge kisha akimbilie kutafuta umaarufu kwenye media kwa mgongo wao. Naomba sana wam ignore. Hana maana huyu na hafai kuwa kiongozi!.

Ameanza kuweweseka,mara sina uhakika na UKAWA kama utadumu
 
Back
Top Bottom