salimtevez
Senior Member
- Feb 26, 2014
- 187
- 17
Hoja za ccm za kutetea serikali 2 ni zaifu na zishapitwa na wakati
Serikali 2 ndio mpango mzima!Hoja za ccm za kutetea serikali 2 ni zaifu na zishapitwa na wakati
Msimamo wa UKAWA mi wa wananchi 17,000.
Kasema hivyo?!Hata Filukunjombe ccm hata enda bungeni
Msimamo wa UKAWA mi wa wananchi 17,000.
Ameanza kuweweseka,mara sina uhakika na UKAWA kama utadumu
Ni watanzania wote kasoro watu 17000 tu ndiyo wako tofauti na waliowengi.Takwimu za waliosema tuwe au tuendelee na serikali mbili ni wangapi?
Namuamini sana zitto,
Msimamo wa UKAWA mi wa wananchi 17,000.
Umeona eeh!!!!! He is all over the place about this issue. Bora lakini kajitambua ila isije tena next week akatoa kauli nyingine fyongo kuhusu UKAWA.
Msimamo wa UKAWA mi wa wananchi 17,000.
Mpango wa nini? ufisadi?Serikali 2 ndio mpango mzima!
Ukawa sio Chama, ni Umoja wa Katiba ya Wananchi, hata katika CCM wamo Ukawa, na watajulikana wakati wa kupiga kura ambapo watapiga kura ya siri.