Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

huwezi kutegemea Lissu awe ndo kiongozi na msemaji mkuu wa ukawa halafu mkategemea kuwa na mwelekeo mzuri. Hapo lazima mchemshe tu

leo ndio nimeamini ccm imeshikwa pabaya. Imewauma mpaka mmeenda chaka na somo hilo hapo juu. Nendeni wenyewe mkatunge katiba yenu ya lumumba sisi tumeshagoma hatuendi bungeni alaf tuone kama katiba ya lumumba itapita.
 
Ukawa majuha kweli zitto wanamuonya kwani anawahusu jamaa nao mitumbwi kwelikweli.

UKAWA wanaonesha kiasi ni watu wasiokuwa na uelewa wa sheria na katiba iliyopo. Hawawezi kumziba mdomo ZZK kwani anayo hakia ya kutoa maoni, uhuru wa kujieleza na vile vile ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
 
Ukweli ni kuwa UKAWA hawana sera, kila wakiulizwa tofauti ya serikali tatu na mbili na moja ni ipi au inamanufaa gani jibu ni serikali tatu zitaleta maendelea na zitaondoa wizi wa CCM na eti mbili imechakaa wanahitaji usasa. Wakiulizwa serikali tatu zitayaondoaje hayo au zitaletaje maendeleo wanasema umetumwa na ccm. Akimaanisha mtu yoyote anayetaka seriakali mbili ni ccm bila kujiuliza anayetaka serikali tatu ni ukawa, chaedema, nccr au cuf? Ukweli unabaki palepale kua nia na dhamira ya ukawa ni kuua muungano nothing else.

Tuache Majungu, Zitto ametoa mtazamo wake kama raia mwingine yoyote, au kwasababu ametoa msimo tofauti na wao? Tukumbuke hapo mwanzo lisu na wezie walisema tume ya warioba haina weledi na wote ni mamluki wa ccm na tukumbuke Prof. Baregu alitaka kufanya nini alipoambiwa ajitoe kwenye tume, Leo namshangaa polepole kujidanganya kuwa ukawa wako nao bega kwa bega, hebu wawaambie basi kwakua rasimu ni maoni ya wananchi basi tuifanye hii rasimu iwe ndiyo katibba uone maneno yatakavyowaruka ka wehu.

Ili katiba mpya ipatikane inahitajika nia ya dhati si tu kwakua ccm amesema hivi basi lazima nipingane nae au chadema kasema vile basi sikikubali. Na ndiyo maana wanaaswa warudi bungeni kufanya maridhiano. si mtu anatukanaaaa weeee akiishiwa matusi wakimrudia kidogo anakimbilia kwa wananchi kutafuta huruma yao, mwisho mtachokwa.
 
wakafanye maridhiano ya rasimu ipi?. Hao wewe ndio wale wa buku7?
 
kwa mwenye akili timamu hawezi kuwadhihaki au kuwadharau UKAWA. Ukitaka kujua nini maana yake na wana umuhimu gani kwa Tanzania subiri tuone bunge la katiba. ila hawa vijana mambumbumbu wa ccm wanaochumia tumbo kwa kulipwa vijihela uchwara wataendelea kubwabwaja humu JF tu na utashangaa watakavyoyeyuka kama barafu baada ya aibu kuu kuwakuta
 
Zitto amesema ukweli daima! Hakuna kichwa Kama ZZK ndani ya UKAWA

Hata mimi naungana na wewe zitto ni kichwa maaana ni mnafiki wa kutupwa. ni kichwa kweli kwa sababu aliwahadaa watanzania kwamba yeye ni mpinzani kumbe ni nyoka. aliwahadaa watanzania eti kuna watu wameficha fedha nje kumbe na yeye anafaidika,mbona hakuwataja. eti kichwa hiki kinataka ccm wakipata urais apewe UWAZIRI MKUU. zito is good for nothing. CCM wameisha mtumia zitto na watamtupa kama ile mipira
 
UKAWA wanaonesha kiasi ni watu wasiokuwa na uelewa wa sheria na katiba iliyopo. Hawawezi kumziba mdomo ZZK kwani anayo hakia ya kutoa maoni, uhuru wa kujieleza na vile vile ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba.

Umesoma walichosema au umesikiliza tu vichwa vya magazeti kwenye redio
 
Zito hana jipya anyamaze kimya maana habari za ukawa hazimhusu abaki na wafadhiri wake ccm
 
Haka ka jamaa siku hizi ni ka agenti ka CCM - tukasamehe bure hakajui kalitendalo.
 
Hivi si ni huyu huyu Mh. Zitto aliyesema kuwa ana majina ya watu ama vigogo walioweka hela Uswisi na angewataja muda si mrefu? Katika kumbukumbu zangu zinasema ni mwaka sasa toka aropoke haya maneno. Huyu jamaa ni hatari sana kwa taifa letu na inabidi aogopwe kama ebola.
ndiyo huyu huyu, anatamba kwamba list anatembea nayo mfukoni - ati muda muafaka ukifika ataiweka hadharani - nafikiri tuwe na subira sasa sina uhakika mpaka lini.
 
Ukweli unauma
Viongozi wa UKAWA wamemuonya Mh.Zitto akae kimya asizungumzie mambo ya UKAWA kwa kuwa hayamhusu.

Kauli hiyo imekuja baada ya Zitto kutoa kauli kuwa hana uhakika kama umoja huo utadumu mpaka uchaguzi 2015.

Zitto ametakiwa aendelee na ubinafsi wake awaache UKAWA wawapiganie wananchi.

Source: Mtanzania.

My Take: Zitto acha chokochoko,huna credibility ya kuwanyooshea Ukawa kidole,kwani wewe ni mbinafsi.
 
zito kabwe ana akili nyingi sana kuliko UKAWA wote.ameona mbali sana,ukawa wavunje huu umoja haraka sana
 
Zitto namhurumia anavyoumia rohoni..

lakini huwa wanafiki ni majasiri sana.. bahati mbaya tu hakunaga mnafiki anayedumu na kuaminika muda mrefu..

Zitto ataishia kuwa galasa kuliko Mrema bora hata akafundishe tu na huko chuoni akikutana na wanaojielewa atakuwa na wakati mgumu sana

RIP Dr Mvungi
 
Ni kweli. Nilishasema UKAWA tunawahitaji sana ila kinyang'anyiro cha uraisi 2015 ndio kitakachowasambaratisha! Kila chama watataka waweke mgombea wao na hapo ndipo muziki utakapoanzia.
 
Back
Top Bottom