Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

Harufu ya kuvimbiwa unaandika usichokijua.

Kwa taarifa yako serikali na Magu wenu mlikurupuka kufanya uharamia badala ya mazungumzo.

Halipwi mtu hapa. Wizi Gano umefanyika na muwekezaji wakati sheria yenu na mikataba ya siri mlimhalalishia kuwa kola kitu ni chake.

Umeshauriwa tafuta maarifa yakusaidie uchambuzi uache kuchamba wima nyaa itakuchafua makalio na mapaja
 
Mzimu wa lowassa hauwezi kumwacha Tundu salama, amebaki kuwa hovyo kadri siku zinavyokwenda.
 
Katawadhe shombo hilo tazama upya ulichoninukuu
unavuuta mdomo, dah...leo hautalala...pole sana dogo, hao 'mabwana' zenu waliokuwa wamewaajiri sasa wamekaa chini. Muulize Tundu MIGA ndio nini vile?
 
mkuu, hakuna tofauti kati ya alichoongea Lissu na Lowasa.

kama ulimsikiliza vizuri Lowasa alitoa a thinly veiled barb kwa Magufuli/CCM. tofauti na Lissu ambaye yeye ana-hit kwenye bull moja kwa moja bila kuremba!
 
Ww Kweli Funza[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu una hasira za mkizi!!!
Kila mtu aasema lake, Lowassa anamwaga sifa , Lissu anajiharishia mara awasute watanzania , mara atafute data, sasa hana cha kuongea ka ukuwadi wake,
Na wewe endelea kukaa mlango wazi wakati serikli inaongea na mwizi aliyekubali kuturudishia chetu.
 

Wakati unaandika haya ulikuwa umekalia dole ama?
 
Wakati unaandika haya ulikuwa umekalia dole ama?
Hapana ni lile dole ulilomuweka yule mwanasheria uliyepeleka kuwatetea ACCASIA, sasa ACCASIA wenyewe wamesutuka na kuleta mihela waliyoiba!
 
Mzimu wa lowassa hauwezi kumwacha Tundu salama, amebaki kuwa hovyo kadri siku zinavyokwenda.
Sijapata kuona mbunge mpuuzi kama wewe! Sasa wazungu wamesema majadiliano kulingana na mikataba sasa huko ni Ku surrender? Hiyo mikataba itabadilika walipe tofauti? Kama ni usajili wa jina tutaambulia hela hazizidi bilioni 5 sasa mjanja Nani hapo?
Tunategemea nyinyi wenye access ya kusoma makabrasha mje na hoja maridhawa kuliko maandazi kama hizi. Lissu bado yuko sahihi na tutaaibika kama nchi kwa ajili ya upumbavvu wenu wa ndiyoooo!
 
Actually, tundu amethibitisha ni mwanasheria wa hovyo kuwahi kutokea.
 
Si mlisema ni watuhumiwa madini yetu....mmewaita tena ikulu kuzungumza nao...kumbe kweli nimeamini Lissu anaakili na ajua sana tulipoteleza kwenye mikataba yetu na hawa wawekezaji, Lissu amesema tukiwaletea za kuleta wanatushtaki na tutapoteza sisi badala ya wao na hilo ni kweli ndo maana tumewakaribisha tuzungumze - una zungumza na mtu uliye tangaza amekuibia!!
 
Na huu ndiyo upumbavu mkubwa eti msimamo wa chama. Kila mmoja atumie akili yake ktk mambo haya ya kitaifa. Kumbe maneno ya ajabu ajabu humu ni kwasababu ya msimamo wa chama. Upuuzi mtupu.
 
Mi nimeangalia picha tu !

Sijui mnazitoaga wapi hizo picha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…