Msilolijua kuhusu Wilson Kabwe

Msilolijua kuhusu Wilson Kabwe

Hyo Kabwe ya Mbeya unayosema ilikuwepo kabla hata ya huyo Wilson kuwa Mkurugenz wakati huo sugu anasoma pale Sangu hyo Kabwe iko tu usitudanganye bana
Mkuu ni kweli kabisa,
N imeishi Mbeya miaka ya 90, hiyo Kabwe ilikuwepo tu kabla hata ya fisadi Wilson
 
Akiwa mkurugenzi wa jiji la Mwanza alipiga dili nyingi ambazo vijana wa njini wanasema 'za usoni kabisa' akawa analelewa tu.. Kupitia dili hizo alijenga vitega uchumi kadhaa ikiwemo Hoteli ya kifahari ya "Royal Sunset Beach" kule Luchelele!
Nanyi wananchi mnaiangalia tu,, si müngeenda kuibomolea mbali ili afe kwa pressure.
 
Nanyi wananchi mnaiangalia tu,, si müngeenda kuibomolea mbali ili afe kwa pressure.

Bwana kabwe kama ni kuku basi tayari alikuwa mwenye mdondo, alichofanya Makonda ni kumkata tu shingo kabla hajajifia kibudu maana kama ni kuambukiza kuku wengine basi banda zima limeshaambukizwa...haiwezekani kila dili iliyopigwa kwenye kurugenzi alizohudumia awe yeye ndo kinara tu,huyu angekuwa amezaliwa wakati ule wa tawala za kichifu ingebidi baragumu lipigwe awekwe kwenye madhabahu tumchinje nyama tugawane!
 
Kwa hiyo sasa bunge litaoneshwa live kuanzia kesho au mpaka baadae.Tumetii amri hatuchezi POOL asubuhi pamoja na kuwa sisi ni wastaafu tunakula pension yetu kutoka NSSF.
 
Hata kama una mahaba na ccm jaribu kuifikiria nchi, ukawa imetoka wapi? unakariri tu kama kasuku? Unaambiwa kabwe alikuwa hawajibishwi kwa kuwa ni mume mwenza wa pinda, ila kafanya ubadhirifu mwingi.. badala umlaani pinda na kikwete unalaani ukawa, shame on you, saa nyingine wazazi wanapoteza pesa kusomesha mijitu isiyotaka kufikiri vyema. Shit.
Kweli mkuu nakubaliana na wewe wazazi walipoteza pesa kusomesha toto jinga na lenye utindio wa ubongo kama wewe ambalo kazi yake kubwa imekuwa ya kulamaba viatu vya akina mbowe na lissu...mkuu msigwa alisha waambiwa mnaomuunga mkono lowassa mkapimwe akili..inaonekana una mental disoders maana unashindwa kutambua kwamba kwa sasa UKAWA ndiyo wamegeuka kuwa genge la kutetea mafisadi.. kwa hiyo mnataka kutuaminisha kwamba zile tuhuma mlizokuwa mnazitoa dhidi ya kabwe zilikuwa nu uwongo..hebu koma kufikiri kwa kutumia masabuli jaribu kushirikisha ubongo kidogo...Magufuli nyooosha hizo kunguru.
 
Tangu lini mwizi akawa na uhakali wa kumwajibisha mwizi mwenzake ili hali nae anastahili kuwajibisha kwanza?
Aaa kumbe mnamtetea mwizi mwenzenu haya andaeni maandamano mkipinga kitendo ya Mh Magufuli kumsimamisha kazi Wilson kabwe...kama mlivyokuwaga mnaanda maandamano dhidi ya ufisadi wa richmond na Escrow muone nyomi mtakayoupata.
 
Kweli mkuu nakubaliana na wewe wazazi walipoteza pesa kusomesha toto jinga na lenye utindio wa ubongo kama wewe ambalo kazi yake kubwa imekuwa ya kulamaba viatu vya akina Mbowe na Lissu...mkuu Msigwa alisha waambiwa mnaomuunga mkono Lowassa mkapimwe akili..inaonekana una mental disoders maana unashindwa kutambua kwamba kwa sasa UKAWA ndiyo wamegeuka kuwa genge la kutetea mafisadi.. kwa hiyo mnataka kutuaminisha kwamba zile tuhuma mlizokuwa mnazitoa dhidi ya Kabwe zilikuwa nu uwongo..hebu koma kufikiri kwa kutumia masabuli jaribu kushirikisha ubongo kidogo...Magufuli nyooosha hao
Jinsi ulivyo zoba hata huyo Magufuli hawezi kukupa kazi ya kusafisha banda la mbwa wake, "masabuli" ndio systeam ipi kwenye mwili wa binadamu? Tuhuma za Zitto zilikuwa kweli kwamba alianzisha chama akiwa mwananchama wa chama kingine alikanusha lakini baada ya kutolewa chadema alienda kwenye chama chake, hivi unafikiri kumkosoa alie kosea ni uadui? Ulitegemea Zitto awe adui wa UKAWA? Pole umekalia chuki ndio maana unalazimisha malumbano, Magufuli alishasema ni rais wa wote na kama ni kunyoosha anayoosha walioko CCM, upo hapo? Kilango alikuwa UKAWA ee? Usifikiri siasa ni uadui funua mawazo ona mbele zaidi acha kuangalia ulipo toka ya zito na chadema yalishakuwa historia sasa watu wanawaza maendeleo y watu.
 
Acha UKUDA kijana.....Pinda na Kabwe hawajaoa nyumba moja, huu ni uongo uliokubuhu.😡😡😡
 
Hyo Kabwe ya Mbeya unayosema ilikuwepo kabla hata ya huyo Wilson kuwa Mkurugenz wakati huo sugu anasoma pale Sangu hyo Kabwe iko tu usitudanganye bana

Sawa kabisa mkuu, kituo cha mabasi Mwnjelwa, Mbeya,kiitwacho Kabwe, kilikuwapo enzi na enzi, siyo jina la huyu Wilson Kabwe, endeleani kujadili ufisadi mwingine kama upo.
 
Vilevile huyu jamaa amesoma na Dkt. Edward Hoseah aliyekuwa big boss pale TAKUKURU
 
Nashukuru sasa vijana wa UKAWA wamejapambanua katika rangi yao halisi kua ni watetezi wa mafisadi ..kumbe zile kelele ulikuwa unafiki na uzandiki..Haya na Meya wa municipal ya Ilala anayetokana na UKAWA amewasimamisha kazi wahandisi wanne haya nategemea vijana wa Ufipa ...kuja kulaani hatua ya meya wao hahaha.

Mmh, uongo mwingine wa wazi mno. UKAWA wanawatetea vp mafisadi? kwani wana serikali au polisi? Acha kupindisha maneno: Kama kuna mafisadi, waambie wenye mamlaka wachukue hatua. Achana na visingizio vya UKAWA katika hili.
 
Nafikiri suala hili aulizwe spika wa bunge lililopita. Suala hili lilifikishwa bungeni na Wenje. Je alifanya nini kuhakikisha ukweli inafahamika????
 
Nakumbuka kuna siku moja Zungu alikuwa anachangia hoja....nadhani ilikuwa kuhusu ofisi ya waziri mkuu akasema...nanukuu...Rudisheni hiyo takataka yenu huko mlikoitoa watu wa dar es salaam hatuitaki...mwisho wa kunukuu...alikuwa anamlenga Kabwe...
 
Dah! kwa hyo mfipa nae alikuwa sehemu ya tatizo! Tutayajua mengi sana... vp kuhusu CV yake?
 
Back
Top Bottom