mwanaume kumsifia mwanaume mwenzako kwa style hiyo kuna shida kidogo hata kamaa unampenda punguza mahaba
anyway msikilizeni mtuambie anaongea nini wengine tuna allegy na sauti ya kibonde mzee wa chini ya meza
Mwanaume muda siyo mrefu atauguruma kwenye spika za Clouds muda huu. Mtanzania msikilize mwanaharakati SIMBA wa nyika mpenda watanzania na
mpigania haki za wanyonge.
Umeambiwa punguza nyege
Mwanaume muda siyo mrefu atauguruma kwenye spika za Clouds muda huu. Mtanzania msikilize mwanaharakati SIMBA wa nyika mpenda watanzania na
mpigania haki za wanyonge.
Kwa washauri wa Zitto mwambieni atulie aache kutokota. Haya mambo aliyataka mwenyewe and since he is over 18 years acha ayabebe. Huwezi kushindana na sauti ya wanyonge ukapona. Alishavuna pesa nyingi kwa kuiuza na kutaka kuiangamiza kabisa CDM sasa ameshindwa na CDM ni pendwa kila kukicha. Ni fundisho kwa wasaliti wote. Ahamie CCM au akajiunge na ACT agombee urais October na hapo ndipo ataaibika kimoja. Alijiona kuwa yeye Zitto hakuna wa kumfikia ila kwa unafiki wake ameumbuka, tena vibaya.
Hivi ilikwisha wahi kudhibitishwa kwamba huyu jamaa alihongwa au bado ni tetesi