Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,848
Mwanaume muda siyo mrefu atauguruma kwenye spika za Clouds muda huu. Mtanzania msikilize mwanaharakati SIMBA wa nyika mpenda watanzania na
mpigania haki za wanyonge.
mpigania haki za wanyonge.
Baada ya mwanaharakati huyo kushiriki vilivyo kuwafichua vingogo wa serikali katika sakata la escrow akaunti imeamua kumtosa kwa kushirikana na mahakama kutupilia mbali shitaka lake la kutaka kutokujadiliwa na chadema.
mwanasiasa huyo mpingania maendeleo ya taifa lake kimeamua kumtega chama kwa kutuhumu za fikisu za uchu wa madaraka ndani ya chama pamoja na taifa.
mwanashiria wa chama hicho tundu lissu kwa kushilikiana na chama chake cha ukabila hatimaye wamefanikiwa kumtokomeza mwanasiasa huyo ndani ya chama.
ushaidi upo wazi kwamba mbowa na dk.slaa ni wezi wa hela za ruzuku zinazotolewa na serikali, dk.slaa na mbowe wameshidwa hata kukiendesha chama, hadi kiazishwe mikoa ya shinyanga na mwaza ofisi zao ni nyumba zilizochoka katika maeneo machache huku maeneo makubwa yakiwa hayana hata ofisi.